Viongozi wa Simba, Yanga wameenda kusaidia watoto yatima, liangalieni hili

Huu mchezo wa kukimbilia kwa watoto yatima kutafuta ushindi dhidi ya Simba kesho, sio bure.

Nawasihi viongozi wa Simba, kesho asubuhi na ninyi nendeni mkasaidie yatima, mtanishukuru, wenzenu hawana nia njema na ninyi hiyo kesho.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Huu ushabiki wa kilimbukeni taabu kwelikweli.
 
sasa unapeleka misada kwa yatima wakati timu zinafadhiliwa na kamari ni kumjaribu muumba.
 
huu mfumo sijui umeletwa na nani hapo Yanga?

Kutoa msaada kwa yatima kwasababu tu unajambo lako unalotaka litimie ukiamini msaada wako utaenda kuleta baraka, ni jambo moja la kijinga sana.

Hii ina maanisha kwamba kipaumbele sio kusaidia bali kujisaidia, expecting somethin in return is what we call trading, unalipia thalafu ndio unapata chochote in return.

Lakini kutoa msaada bila kutegemea jambo lolote in return, hiyo tunaita humane (utu/ubinadamu)
 
Huo utaratibu Yanga wanao tangu msimu uliyopita, wamekuwa wakifanya hivyo mara Kwa mara na si Kwa watoto yatima tu Bali Kwa makundi maalumu mengi tu kama wazee, wagonjwa nk

Nadhani ni utaratibu mzuri wa kurudisha kidogo Kwa jamii na juzijuzi Tu tumeona Sadio Mane amepata tuzo ya Socrates kutokana na kurudisha Kwa jamii yake kile anachokipata..nadhani club nyingine ziige pia hili Jambo ni zuri

Tusidhani kila Jambo linalofanyika kwamba ni suala la ushirikina tuwe na positive mind wakuu[emoji120][emoji120]
 
Usibishe wanachokifanya Yanga SC ni Ushirikina na haya ni Maagizo ya Mganga wao pamoja na yule Dogo ambaye huingia na Njiwa Wawili weupe na kila Kipindi huwa anawarusha Hewani na Yanga SC huwa inashinda
 
Maybe, lakini mbona game ya Al hilal nayo walienda Kituo cha watoto yatima Sinza ila still hawakushinda game na njiwa walirushwa kama kawaida[emoji3][emoji3]
 
Usibishe wanachokifanya Yanga SC ni Ushirikina na haya ni Maagizo ya Mganga wao pamoja na yule Dogo ambaye huingia na Njiwa Wawili weupe na kila Kipindi huwa anawarusha Hewani na Yanga SC huwa inashinda
Bro Mimi sipingi uwepo wa hizo Mambo Ila hoja yangu ni kwamba team nyingine pia ziige huu mtindo wa kurudisha Kwa jamii.

Kama hicho wanachofanya Young Africans ni guarantee ya kushinda mechi as you said basi basi wasingekuwa wanapoteza mechi hata moja maana naona imekuwa ni desturi Yao ya muda kidogo
 
#GENTAMYCINE Mimi binafsi naona kama viongozi wa Simba SC wanaitumia hoja ya ushirikina kama defensive mechanism pale wanapopoteza game ya derby

Wanawaaminisha mashabiki kuwa Yanga SC wanatumia ulozi kuwafunga ili mashabiki wao wasiwape lawama Sana matokeo yakiwa mabaya upande wao

Mbinu nyingine wanaeneza propaganda kuwa Young Africans wanawakamia sasa mtu unajiuliza game ni ya derby ina heshima yake na records zake mtu ukishinda Kwann usikamie??

Tena ni moja ya game ambayo inaweza ikafanya team ibebe ubingwa, Mimi naona viongozi wawe serious tu siyo kwamba Yanga haifungiki Ila tu umakini na userious wa maandalizi unahitajika

Simba na Yanga ni watani wa jadi sasa jiulize nini maana ya neno jadi na je jadi inahusisha Mambo gani..??
 
huu mfumo sijui umeletwa na nani hapo Yanga?

Kutoa msaada kwa yatima kwasababu tu unajambo lako unalotaka litimie ukiamini msaada wako utaenda kuleta baraka, ni jambo moja la kijinga sana.

Hii ina maanisha kwamba kipaumbele sio kusaidia bali kujisaidia, expecting somethin in return is what we call trading, unalipia thalafu ndio unapata chochote in return.

Lakini kutoa msaada bila kutegemea jambo lolote in return, hiyo tunaita humane (utu/ubinadamu)
Una roho mbaya sana, unawaonea wivu yatima [emoji22]?
 
#GENTAMYCINE Mimi binafsi naona kama viongozi wa Simba SC wanaitumia hoja ya ushirikina kama defensive mechanism pale wanapopoteza game ya derby

Wanawaaminisha mashabiki kuwa Yanga SC wanatumia ulozi kuwafunga ili mashabiki wao wasiwape lawama Sana matokeo yakiwa mabaya upande wao

Mbinu nyingine wanaeneza propaganda kuwa Young Africans wanawakamia sasa mtu unajiuliza game ni ya derby ina heshima yake na records zake mtu ukishinda Kwann usikamie??

Tena ni moja ya game ambayo inaweza ikafanya team ibebe ubingwa, Mimi naona viongozi wawe serious tu siyo kwamba Yanga haifungiki Ila tu umakini na userious wa maandalizi unahitajika

Simba na Yanga ni watani wa jadi sasa jiulize nini maana ya neno jadi na je jadi inahusisha Mambo gani..??
Screenshot_20221023-083010.png
FB_IMG_1666499073723.jpg
 
Huu mchezo wa kukimbilia kwa watoto yatima kutafuta ushindi dhidi ya Simba kesho, sio bure.

Nawasihi viongozi wa Simba, kesho asubuhi na ninyi nendeni mkasaidie yatima, mtanishukuru, wenzenu hawana nia njema na ninyi hiyo kesho.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kwaiyo kusaidia yatima wameanza iyo jana? Una walakini kichwani wewe sio bure
 
Back
Top Bottom