Alpaslan Bey
Senior Member
- Nov 4, 2023
- 121
- 163
Ukweli ni kwamba, kwa nchi ambayo viongozi wake wanawajibika ilitakiwa mpaka mchana wa leo viongozi wa TFF na bodi ya ligi wawe wamejiuzulu kwa kushindwa kutafuta suluhu ya sintofahamu ya jana.
Kuna wakati unajiuliza hivi hawa viongozi wa mpira ikitokea wamepewa madaraka makubwa na ghafla tukavamiwa kama taifa, je watakuwa na uwezo wa kutulinda kweli?
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Mpira ni suala la usalama wa taifa, hebu tujiulize hasara ambayo watu wamepata kwa siku ya leo, nguvu na hamasa ya mashabiki ilivyokufa. Tunaruhusu vipi usalama wa taifa letu ukachezewa??
Kuna siku hawa viongozi wanaweza kutuletea majanga makubwa sana.