fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Kwanza niwapongeze Wachezaji na Benchi la Ufindi la Taifa Stairs kwa kufuzu AFCON2019. Mimi ni mmoja yua walioboreka sana kwa kufungwa kule Lesotho, lakni kwa kutoka kwenu draw na UG kule kwao kulinipa matumaini makubwa sana kuwa lazima tutawafunga hapa nyumbani, hofu ilikuwa kule cape verde, in summary mungu ni mwema na hongereni sana kwa kufanya kazi yenu hapo uwanja wa taifa, napenda pia tusiiute uwanja wa benjamini kama ambavyo hatukupenda kuuita kwa mchina maana sio benjamini wala mchina aliyetujengea watanzania huo uwanja kwa pesa zake, ni pesa za watanzani hivyo uitwe uwanja wa taifa basi.
NIrudi kwenye mada ya leo, wakati nikisoma na kufanya kazi na waingereza na kasha wamarekani achilia mbali miradi ya UNESCO, ITU and IDRC, nilijifunza kitu kimoja naita kikubwa sana ambacho nawiwa ku-share hapa.
Kama alivyohoji gwiji, namwita gwiji kwa sababu nimeridhika na namna anayofikiri na kutenda, rais jpm alihoji mambo ya muhimu sana na ambayo bila kupepesa macho kama watanzania tunahitaji majibu na kuwajibika kwa viongozi wa TFF.
1. iweje tiketi ziandaliwe nyingi mara moja na nusu zaidi ya uwezo wa uwanja?
2. je watanzania waliokata tiketi na kuishia kuangalia mechi kwenye luninga watarejeshewa pesa zao na fidia ya nauli muda na usumbufu?
3. Je idaidi ya pesa ya tiketi zilizozidi, itajulikana vipi?
4. Je iwapo isingekuwa heko kwa polisi na vyombo vya usalama, wote wangeingia kwenye uwanja na uwanja ukaporomoka, watu wakafa maelfu kwa maelfu ingekuwaje hapa TZ? hasara isiyolipika
5. Je Uwanja baada ya kuporomoka nani angepaswa kutujengea uwanja wetu, kodi zetu hizo?
Uzembe wa haina hiyo iwapo watz tutafumbia macho kisa tumefuzu kwenda afcon2019, basi huo ndio utakuwa udhaifu wetu mkubwa kama watz na waafrika.
kushinda na kushiriki ni haki yetu baada ya kuandaa timu vizuri na kutoa hamasa sitahiki, sio favour au hisani kutoka kwa viongozi wa TFF.
Kama tutapuuzia pesa za tiketi zilizozidi eti tunafuraha then am sorry allow me to say we will be demonstrating immaturity ya hali ya juu sana. Kama tutapuuzia usalama wa washabiki wetu basi tutakuwa viumbe wenye akili ndogo kama ya panzi maana itakuwa kama kwamba tuko tayari watu maelefu wafe ili tuende AFCON2019, very bad.
Angalizo: Hili suala sio lituvuruge ati twende Misri kuwa washiriki badala ya washindani.
Uwezo wetu kukabiriana na uzembe kazini tukibaki focused kwenye footibali ndio namna pekee ya kuonesha ukomavu wetu na uwezo wa kufanya makubwa zaidi. Iwapo tutafumbia macho uzembe hatariishi kama huu eti ili tukafanye vizuri misri, hapo ndipo nauona udhaifu mkubwa kwetu kama taifa kuendelea kwa lolote.
TFF VIONGOZI WAWAJIBIKE no matter what. Ni kwa namna hii ndio tutakuwa serious na tutaweza kuwa watu katikati ya watu wenye uelewa na maono
Asanteni
Nawasilisha