Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Dah, nimeona wenzetu wako serious sana, wale wajumbe wa seneti ni kama walipanga kumuadhibu tajiri Zuckberg.Wakuu wa baadhi ya makampuni makubwa ya mitandao ya kijamii duniani wamehojiwa na wanasiasa katika Seneti ya Marekani na kukaangwa vilivyo kuhusu ulinzi wa watoto mtandaoni.
Wameulaumu uongozi wa Meta, TikTok, X, Snap, na Discord kwa kutochukua hatua za kutosha kulinda watoto dhidi ya madhara yanayotokea mtandaoni ikiwemo vitendo vya unyanyasaji wa kingono pamoja na matukio yaloyopelekea watoto kujitoa uhai.
View attachment 2890868
Umeona Zuckeberg alivyo nyanyaswa?Anayetafutwa ni TikTok
Huko wameanzia, kumhusisha mmilikiwa TikTok na chama cha kikomunist cha China sio jambo dogoUmeona Zuckeberg alivyo nyanyaswa?
Ilikuwa sehem ya kumvuruga ki saikolojia.Huko wameanzia, kumhusisha mmilikiwa TikTok na chama cha kikomunist cha China sio jambo dogo
Daaah!!!JamiiForum vipi imeachwa..!!!?