Wale viongozi wa jumuiya ya UAMSHO leo hii wameachiwa huru kwa masharti ya mahakama. Viongozi hawa wamewaamsha Wazanzibari kwa kudai nchi yao kutoka kwa wakoloni Tanganyika na ndio kama tunavyoona Wazanzibari kuukataa muungano wazi wazi. Wamewekwa ndani zaidi ya mwaka kwa kosa la kuwaelimisha watu namna ya kuukataa muungano na kudai nchi yao. Mungu awajaze kila la kheri awaepushe na mahasidi.