Viongozi wa vijiji waliotoa taarifa za watu waliokufa kwa njaa, wakamatwa na polisi.

eti mca ndio wako close tu mwanainchi...we unaishi makao makuu ya county wiki nzima...hao mcas wantegemea kupewa taarifa hko kw wards zao...
 
ye hajui kama hao village administrators km wana exist..anskia kutoka kwako...na hajui uwepo wa hao jamaa na wanamfanyia kazi nani...

muache ajipumbaze tu
 
bwahahahaa...wacha kubadili gear...wapi nimesema hadi nisikie kw gavana...km kitu hujui hujui tu...

ni somo tu ilikuwa unapewa ya kwamba mca si kiongozi wa county...ila n members wa county assembly...wacha kuruka ruka bana
Huyo kilaza hata usimalize muda wako kumjibu maana ukimjibu utakuwa unampandisha hadhi muache katika upumbavu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…