Viongozi wa Yanga kuweni makini, msije kukurupuka mkamsajili Chama

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,012
Reaction score
4,300
Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni mchezaji anayepunguza vitu uwanjani.

Haya ni mapungufu ya Chama
1) mipira ya kugombaniana ya 50/50 Chama hawezi kuingiza mguu wake kugombania, ni mchezaji aliyejiona star na anacheza kwa uoga uwanjani.

2) spidi kwasasa Chama hana na mchezaji anayepoozesha move za kushambulia labda itokee move amekutana nayo huko huko juu ila sio kuanzisha move tokea golini kwenu mtegemee chama nae atengeneze hiyo move. Mechi ya Wydad vs Simba, Simba walipata counter attack ikapigwa pasi mbili tu mpira ukamkuta Chama golini kwa Wydad ila cha ajabu mchezaji wa Wydad katoka nyuma hadi kamkuta Chama na kufanya clearance ule mpira.

3) Chama anashindwa kuwa bora kwasasa sababu ya umri wake na kutumika sana kwenye kikosi cha Simba hivyo hawezi kutoa kilicho bora kwavile kaishamaliza peak yake.

4) Aina ya mpira wa Gamondi haumfai Chama wa sasa, Gamondi anapenda mpira wa kasi sana na kukaba sana ili retain possession ya mpira. Hivyo mfumo huu unawafanya kila mchezaji ajitume kwa kukaba na kuwa sharp kufanya making. Embu angalia kikosi cha Yanga ni nani akipoteza mpira anaganda tu kama sanamu? Aziz Ki, Pacome, Max, Guede, Musonda, Mzize, hao ni wachezaji wa safu ya ushambuliaji lakini wanakaba ile mbaya. Chama mpira wa Gamondi hatoweza kwa uvivu, ustaa, na umri wake anahitaji kucheza timu za mchezo wa taratibu.

Kama viongozi mnalengo la kumsajili Chama kwa lengo la kuwakomoa tu Simba basi wamsajili, ila kama lengo ni kuboresha kikosi basi wajue Chama hatokuwa na tofauti na Okrah kwa kuishia kukaa benchi na mbaya zaidi ni wachezaji wa kigeni. Yanga inabidi ivuke mafanikio ya msimu huu klabu bingwa kwa kucheza fainali au nusu fainali japo msimu huu tulitaka kuiweka bila kudhurumiwa haki dhidi ya Mamelodi hivyo msimu ujao inabidi kudhihirisha kwa Africa kuwa kweli tulistahili na hatukubahatisha.

Chama sio wa kutusaidia kwa jinsi alivyo kwa sasa.
 
zipo sajili nyingi sana za hovyo zilizofanywa na GSM

chama is still the best, na ikitokea kweli akasajiliwa sioni kama kuna hasara zozote kiutendaji
Toa sababu kwanini unasema bado chama ni bora? Zunguza na huo uzuri wake kama mimi nilivyoainisha mapungufu yake kulingana na Yanga ya sasa.
 
Nani kakwambia Yanga wanamtaka Chama?,Yanga wanachofanya ni kuwazidishia Presha Simba ili waendelee kuwang'ang'ania magarasa yao ili wembe uwe ni ule ule!

Chama hana Umuhimu kwasasa pale Yanga!
 
Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni mchezaji anayepunguza vitu uwanjani.

Haya ni mapungufu ya Chama
1) mipira ya kugombaniana ya 50/50 Chama hawezi kuingiza mguu wake kugombania, ni mchezaji aliyejiona star na anacheza kwa uoga uwanjani.

2) spidi kwasasa Chama hana na mchezaji anayepoozesha move za kushambulia labda itokee move amekutana nayo huko huko juu ila sio kuanzisha move tokea golini kwenu mtegemee chama nae atengeneze hiyo move. Mechi ya Wydad vs Simba, Simba walipata counter attack ikapigwa pasi mbili tu mpira ukamkuta Chama golini kwa Wydad ila cha ajabu mchezaji wa Wydad katoka nyuma hadi kamkuta Chama na kufanya clearance ule mpira.

3) Chama anashindwa kuwa bora kwasasa sababu ya umri wake na kutumika sana kwenye kikosi cha Simba hivyo hawezi kutoa kilicho bora kwavile kaishamaliza peak yake.

4) Aina ya mpira wa Gamondi haumfai Chama wa sasa, Gamondi anapenda mpira wa kasi sana na kukaba sana ili retain possession ya mpira. Hivyo mfumo huu unawafanya kila mchezaji ajitume kwa kukaba na kuwa sharp kufanya making. Embu angalia kikosi cha Yanga ni nani akipoteza mpira anaganda tu kama sanamu? Aziz Ki, Pacome, Max, Guede, Musonda, Mzize, hao ni wachezaji wa safu ya ushambuliaji lakini wanakaba ile mbaya. Chama mpira wa Gamondi hatoweza kwa uvivu, ustaa, na umri wake anahitaji kucheza timu za mchezo wa taratibu.

Kama viongozi mnalengo la kumsajili Chama kwa lengo la kuwakomoa tu Simba basi wamsajili, ila kama lengo ni kuboresha kikosi basi wajue Chama hatokuwa na tofauti na Okrah kwa kuishia kukaa benchi na mbaya zaidi ni wachezaji wa kigeni. Yanga inabidi ivuke mafanikio ya msimu huu klabu bingwa kwa kucheza fainali au nusu fainali japo msimu huu tulitaka kuiweka bila kudhurumiwa haki dhidi ya Mamelodi hivyo msimu ujao inabidi kudhihirisha kwa Africa kuwa kweli tulistahili na hatukubahatisha.
Chama sio wa kutusaidia kwa jinsi alivyo kwa sasa.
Mwili wa mchezaji ni Wa timu km vile mwili wa mwanajeshi ni mwili wa jeshi, Hawa wachezaji wanaimarishwa miili Yao na walimu wa viungo km mwalimu wa viungo atakuwa hana ujuzi wa kutosha wachezaji watakuwa hawana nguvu, pia wachezaji wanatakiwa wasiwe na stress
 
,Mwili wa mchezaji ni Wa timu km vile mwili wa mwanajeshi ni mwili wa jeshi, Hawa wachezaji wanaimarishwa miili Yao na walimu wa viungo km mwalimu wa viungo atakuwa hana ujuzi wa kutosha wachezaji watakuwa hawana nguvu, pia wachezaji wanatakiwa wasiwe na stress
Umezungumzia habari ya nguvu, jambo ambalo sikulizungumzia kwa Chama kutokuwa na nguvu bali nimezungumzia swala la uvivu na ustaa. Umri kwa mchezaji linaathiri sana hali ya utendaji wake wa kazi hata kama mwalimu wa viungo atafanya kazi kiasi gani. Kwahiyo unataka kusema kuwa huyu Chama tunayemuona kwasasa hana spidi je inatokana na kufundishwa na mwalimu wa viungo asiyekuwa na ujuzi?
 
Hata mimi nitawashangaa sana Yanga kama wataendelea kuokoteza wachezaji kama Chama, Baleke, au Moses Phiri!!
Sura mpya kama zile za akina Aziz Kii ndiyo kila kwenye mafanikio makubwa ya Yanga.
 
Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni mchezaji anayepunguza vitu uwanjani.

Haya ni mapungufu ya Chama
1) mipira ya kugombaniana ya 50/50 Chama hawezi kuingiza mguu wake kugombania, ni mchezaji aliyejiona star na anacheza kwa uoga uwanjani.

2) spidi kwasasa Chama hana na mchezaji anayepoozesha move za kushambulia labda itokee move amekutana nayo huko huko juu ila sio kuanzisha move tokea golini kwenu mtegemee chama nae atengeneze hiyo move. Mechi ya Wydad vs Simba, Simba walipata counter attack ikapigwa pasi mbili tu mpira ukamkuta Chama golini kwa Wydad ila cha ajabu mchezaji wa Wydad katoka nyuma hadi kamkuta Chama na kufanya clearance ule mpira.

3) Chama anashindwa kuwa bora kwasasa sababu ya umri wake na kutumika sana kwenye kikosi cha Simba hivyo hawezi kutoa kilicho bora kwavile kaishamaliza peak yake.

4) Aina ya mpira wa Gamondi haumfai Chama wa sasa, Gamondi anapenda mpira wa kasi sana na kukaba sana ili retain possession ya mpira. Hivyo mfumo huu unawafanya kila mchezaji ajitume kwa kukaba na kuwa sharp kufanya making. Embu angalia kikosi cha Yanga ni nani akipoteza mpira anaganda tu kama sanamu? Aziz Ki, Pacome, Max, Guede, Musonda, Mzize, hao ni wachezaji wa safu ya ushambuliaji lakini wanakaba ile mbaya. Chama mpira wa Gamondi hatoweza kwa uvivu, ustaa, na umri wake anahitaji kucheza timu za mchezo wa taratibu.

Kama viongozi mnalengo la kumsajili Chama kwa lengo la kuwakomoa tu Simba basi wamsajili, ila kama lengo ni kuboresha kikosi basi wajue Chama hatokuwa na tofauti na Okrah kwa kuishia kukaa benchi na mbaya zaidi ni wachezaji wa kigeni. Yanga inabidi ivuke mafanikio ya msimu huu klabu bingwa kwa kucheza fainali au nusu fainali japo msimu huu tulitaka kuiweka bila kudhurumiwa haki dhidi ya Mamelodi hivyo msimu ujao inabidi kudhihirisha kwa Africa kuwa kweli tulistahili na hatukubahatisha.

Chama sio wa kutusaidia kwa jinsi alivyo kwa sasa.
Hafai kabisa Yanga. Abaki huko huko.
 
Mnamshauri msela check bob mpenda sifa asimsajili Chama? Mnajisumbua ndoto yake kubwa ni hiyo ya kumsajili chama
 
Jamaa anaonesha jinsi alivyo brother K'muda mwingine kwa sajili za hivi karibuni kutoka Simba. Yaani wachezaji wote Africa wamejaa tele lakini kaamua kuangaika na mchezaji mvuvu na anayejivuna kupenda kubembelezwa huku umri wenyewe unaonesha kashikashi za Gamondi hatoziweza.
 
Chama ni brain kubwa, bado miguu ina kitu kuliko kina Mudathir. Utulivu wake kwenye box hamna mchezaji anaegysa hata nusu ya ubora wake.
Mpira wa miguu ni utimamu wa mwili na akili sio akili peke yake. Ndio yale unasikia akili inataka mwili unakataa. Mfumo wa Gamondi kila mchezaji ni muanzisha mashambulizi kwa kuhakikisha anaupoka mpira kwa mpinzani na kila mchezaji anatakiwa kuwa na kasi. Chama kule Morocco kainyima Simba goli kwa kukosa kwake spidi.
 
Mnamshauri msela check bob mpenda sifa asimsajili Chama? Mnajisumbua ndoto yake kubwa ni hiyo ya kumsajili chama
Msela check bob mpenda misifa hasikilizi ushauri wa mtu. Yuko tayari kuiingiza timu hasara ya kumlipa Chama mshahara wa miln 34 kwa mwezi halafu mwakani FIFA iwafungie tena kusajili kwa kosa la kutomlipa chama huyu huyu pesa yake ya usajili na kumvunjia mkataba
 
Chama ni brain kubwa, bado miguu ina kitu kuliko kina Mudathir. Utulivu wake kwenye box hamna mchezaji anaegysa hata nusu ya ubora wake.
Kilichoibeba yanga ni umoja wa wachezaji wote msimu mzima, hakuna aliyekua anaonyesha yupo juu kuliko mwingine, sikatai Chama ni mchezaji mzuri ila atakuja kuvuruga dressing room ya timu na morali,
 
Back
Top Bottom