Viongozi wa yanga mjitathumini

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Yangu au Simba ina maadili Yao hivi vikundi vya kuilinda timu wanavyo kwa ajili ya kulinda hujuma ndani na nje ya uwanja
Nawashauri muwaite mkae nao wajipange
Lakini mkijifanya kichwa ngumu na timu ikakosa matokeo mazuri moto utalipuka
Hata utalaamu wenu wa uongozi utaonekana fakini
 
Inaonekana kuna watu wengi wana maslahi na hilo kundi lililopigwa ‘Pini’ na Dr Msolla.

Kama tunataka tusonge mbele tuache hizi janjajanja za Makomandoo la sivyo tutabaki palepale.

Kuna uhusiano gani wa kupata matokeo na uwepo wa kundi la ‘Makomandoo’?
 
Hakuna maslahi yoyote najua hamjui kuwa kuna vitu vinavyokuwa vinaendelea
Simba wapo
 
Duuuh yale yale ya ccm na chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…