Mkuu ukaguzi Kwenye taasisi unafanyika kila siku? Hao viongozi wana muda gani toka waanze kazi?Hawawezi kukuelewa hao lengo la kuendesha mfumo wa kizamani ni kuwaminisha mashabiki wao kuwa Ndala ni timu ya wananchi hivyo itachangiwa na wananchi bila mfumo maaalumu. yaani mtu akiingia uwanjani akisoma tu upepo anachukua shati au kofia au bakuli anaanza kukinga hela za michango akimaliza kuzikusanya hawatoi hata mrejesho.. ulisikia wapi hela za kwenye mabakuli zikamfunga mtu? wanachangisha hela kutoka kwa mashabiki uchwara bila vielelezo vya malipo hii ni kwa sababu wanajua wazi kuwa hazina mkaguzi wa mahesabu. na ndo maana hawataki wawekezaji ili wawe wananufaika kirahisi... mfumo wa yanga ni kama ccm ilivyokuwepo kabla ya MAGU kila kitu kinaendeshwa kiukanjanja tu.
Mkuu ukaguzi Kwenye taasisi unafanyika kila siku? Hao viongozi wana muda gani toka waanze kazi?
Kuna mikutano IPO Kwenye katiba ambayo moja ya kazi yake kutoa mrejesho acheni ujuaji mwingi.
SHIIIIIIIIII...... tuache kwanza tumalizie maghorofa yetu.Uwazi na kutokuwa na kipya kwenye utendaji wenu...
Jitahidin ku-updates mapato na matumizi na kuwa na utamadun wa kuelezea mashabiki na wanachama mikataba ya udhamin mliyoingia na thaman zake na club inafaidika nini kwenye hiyo mikataba...na mfute migogoro na wachezaji...
Muelewe nyie ndiyo wasimamizi na waendelezaji wa rasilimali za club...
Msipokuwa na uwazi na kubadilika kuonyesha mnaendesha club kisasa kama watani wenu, mashabiki hawata waamn.