Viongozi wa yanga mnaupendeleo

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
kama contino hamutaki mumrusu aondoke mbrazili kapona nyinyi hamtaki kumpa mechi watanzani mnamatatizo au mnataka rushwa kwa mchezaji huyo
 
Mkuu, una maana kocha anafanya ya Maxime wa Mtibwa? Siamini. Lingine kumbuka timu inafanya vizuri na kawaida kwa kocha yoyote kuendelea na wachezaji waliopo kama wanafanya vizuri.

Tunayaona hayo hata ulaya. Kukitokea majeruhi atapata nafasi yake. Pia kuna masuala ya kadi za njano. Nafasi itakuja tu lakini hawezi kupangua winning formula iliyopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…