Hapana,hyo ni ujinga wa mwisho ambao yanga hawataweza kuufanyaViongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza
1.Miraji Athuman
2.Hassan Dilunga
3.Jonas Mkude
4.Ibrahim Ajib
5.Kahata
6.Said Ndemla
7.Gradiel Michael
Wachezaji hawa wataleta mchango mkubwa ili na sisi tuwe Yanga ya viwanda
Makapi hayo, yaache yapambane na hali zao
Labda Waende NamungoViongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza
1.Miraji Athuman
2.Hassan Dilunga
3.Jonas Mkude
4.Ibrahim Ajib
5.Kahata
6.Said Ndemla
7.Gradiel Michael
Wachezaji hawa wataleta mchango mkubwa ili na sisi tuwe Yanga ya viwanda
Maduka hayo yote.Viongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza
1.Miraji Athuman
2.Hassan Dilunga
3.Jonas Mkude
4.Ibrahim Ajib
5.Kahata
6.Said Ndemla
7.Gradiel Michael
Wachezaji hawa wataleta mchango mkubwa ili na sisi tuwe Yanga ya viwanda
Sarpong? Ykpe?Kwa nini wasajili makapikapi...
Hayo ni mashudu 😂Sarpong? Ykpe?
We jifanye maskini jeuri na utakula jeuri yako! Wakisajili timu zingine watainyanyasa utopolo hadi basi!Labda Waende Namungo
Hatutaki makombo
Dah eti kutoka vunja beiTutakuwa Simba B, na hao ni rahisi kurubuniwa kwa mambo yetu ya nje ya viwanja! Asichukuliwe mchezaji hata mmoja kutoka Vunja Bei!
Kahata, Chikwende na Kagere wote wanaondoka ili kuachia nafasi za usajili za kwa wachezaji wa kigeni wawili ambao ni Fraga na Kabangu wa Congo.Imeniuma sana kusikia kuwa Simba wamemuacha Kahata. Afadhali wangemrudisha Chikwende arudi kwao na wakatuachia Kahata wetu. Alikuwa ananogesha biriani na hasa pale anapokuwepo Kahata, Mkude, Chama na Konde Boy pale kwa Mkapa.
Wachezaji hao wakienda Yanga, itakuwa ni timu yenye upinzani mkubwa na Yanga wataanza kulipenda biriani. Biriani tamu bwana asikwambie mtu na hasa pale mnaongoza tatu bila na mnalikung'uta biriani la nguvu, we acha tu. Raha hii Yanga hawaijui, wanaisikia redioni tu.
Kwa maoni yangu naona timu yangu imefanya kosa kubwa sana kumuacha Kahata na hizi ni hisia za washabiki wengi wa Simba. Kwa kweli mmetukosea sana sisi wapenda biriani na sambusa.
... hivi Miraji yuko wapi?Viongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza
1.Miraji Athuman
2.Hassan Dilunga
3.Jonas Mkude
4.Ibrahim Ajib
5.Kahata
6.Said Ndemla
7.Gradiel Michael
Wachezaji hawa wataleta mchango mkubwa ili na sisi tuwe Yanga ya viwanda