Viongozi wa Yanga mwambieni kocha Nabi kuwa Simba imecheza nusu fainali Klabu Bingwa na fainali Kombe la Shirikisho

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Viongozi wa Yanga mwambie ukweli kocha Nabi kuwa klabu ya simba ilikwishacheza nusu fainal klabu bingwa na fainal kombe la shirikisho inaonekana haijui vizuri Simba.

Kama alikuwa anadhani yeye ni kocha wa kwanza kuingiza klabu za tanzania nusu fainal basi kachemka.

Makocha wa Simba walishacheza nusu fainal na fainal ila atakuwa kocha wa kwanza kuiingia Yanga.

Simba ni klabu kubwa sana.

 
Hizi Takwimu (Data)unazo wewe peke yako nimeperuzi website za CAF sijaona hizi Takwimu hata official pages za SIMBA zikipost hizi takwimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…