wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Kuna maneno mengi sana kwenye magroup yakiwahushisha asilimia kubwa viongozi kuihujumu timu aidha kuihujumu GSM
Wanadai wanawambia sana taratibu za kusaidia timu wanaonekana waongo wanawasikiliza sana waongo ambao hawasaidii timu
Wanadai hawaamini tena yanga kutokuchukua ubingwa mwaka huu
Kuna maneno mengi sana kwenye magroup yakiwahushisha asilimia kubwa kuihujumu timu aidha kuihujumu GSM
Wanadai wanawambia sana taratibu za kusaidia timu wanaonekana waongo wanawasikiliza sana waongo ambao hawasaidii timu
Wanadai hawaamini tena yanga kutokuchukua ubingwa mwaka huu
Anazingua tu alete sourceKama kuna uwezekano, ungerudia kuiandika hii mada yako upya ili ieleweke. Ni ushauri tu lakini. Mimi sijaelewa kitu.
SawaKuna maneno mengi sana kwenye magroup yakiwahushisha asilimia kubwa kuihujumu timu aidha kuihujumu GSM
Wanadai wanawambia sana taratibu za kusaidia timu wanaonekana waongo wanawasikiliza sana waongo ambao hawasaidii timu
Wanadai hawaamini tena yanga kutokuchukua ubingwa mwaka huu
Lazima huelewi sababu hutaki kuelewaKama kuna uwezekano, ungerudia kuiandika hii mada yako upya ili ieleweke. Ni ushauri tu lakini. Mimi sijaelewa kitu.