Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Feisal alisema alisainishwa mkataba wa misimu mitatu, bila kujua ilihali yeye alitaka mkataba wa miaka miwili tu. Je, tuseme walitudanganya, au walimdanganya na Profesa juu ya mkataba wake?
Kwenye taarifa ya awali ya mkataba mpya alioongeza Nabi mwaka jana, taarifa zinasema tofauti na zile ambazo zinaripoti baada ya Nabi kuondoka.
Je, tuseme viongozi wameshindwa hata mara moja kuwa wawazi?
Huu sio mwaka 2024, iweje mseme kagoma kuongeza mkataba baada ya kuisha? [emoji848]
NB: Ukishapata jibu tulia tuli!
View attachment 2659101