Huu sio mwaka 2024, iweje mseme kagoma kuongeza mkataba baada ya kuisha? [emoji848][emoji419][emoji375]Feisal alisema alisainishwa mkataba wa misimu mitatu, bila kujua ilihali yeye alitaka mkataba wa miaka miwili tu. Je, tuseme walitudanganya, au walimdanganya na Profesa juu ya mkataba wake?
Kwenye taarifa ya awali ya mkataba mpya alioongeza Nabi mwaka jana, taarifa zinasema tofauti na zile ambazo zinaripoti baada ya Nabi kuondoka.
Je, tuseme viongozi wameshindwa hata mara moja kuwa wawazi?
Huu sio mwaka 2024, iweje mseme kagoma kuongeza mkataba baada ya kuisha? [emoji848]
NB: Ukishapata jibu tulia tuli!
View attachment 2659102View attachment 2659101
Hakuna taarifa official ya yanga inayosema mkataba utaisha 2024Feisal alisema alisainishwa mkataba wa misimu mitatu, bila kujua ilihali yeye alitaka mkataba wa miaka miwili tu. Je, tuseme walitudanganya, au walimdanganya na Profesa juu ya mkataba wake?
Kwenye taarifa ya awali ya mkataba mpya alioongeza Nabi mwaka jana, taarifa zinasema tofauti na zile ambazo zinaripoti baada ya Nabi kuondoka.
Je, tuseme viongozi wameshindwa hata mara moja kuwa wawazi?
Huu sio mwaka 2024, iweje mseme kagoma kuongeza mkataba baada ya kuisha? [emoji848]
NB: Ukishapata jibu tulia tuli!
View attachment 2659102View attachment 2659101
Unataka taarifa gani official zaidi ya taarifa iliyotolewa na Engineer Hersi na kuwekwa kwenye tovuti ya Yanga ikisema Nabi aliongezewa mkataba wa kuendeleq kubakia Jangwani mpaka 2024?Hakuna taarifa official ya yanga inayosema mkataba utaisha 2024
Inawezekana waliomtaka wamevunja mkataba kwa style ya kuweka ela mezani Kama kweli mkataba unaisha 2024Feisal alisema alisainishwa mkataba wa misimu mitatu, bila kujua ilihali yeye alitaka mkataba wa miaka miwili tu. Je, tuseme walitudanganya, au walimdanganya na Profesa juu ya mkataba wake?
Kwenye taarifa ya awali ya mkataba mpya alioongeza Nabi mwaka jana, taarifa zinasema tofauti na zile ambazo zinaripoti baada ya Nabi kuondoka.
Je, tuseme viongozi wameshindwa hata mara moja kuwa wawazi?
Huu sio mwaka 2024, iweje mseme kagoma kuongeza mkataba baada ya kuisha? [emoji848]
NB: Ukishapata jibu tulia tuli!
View attachment 2659102View attachment 2659101
Huyo bado ni kocha, Aje mezani, huo sio utaratibu. Mikataba haivunjiki kiholela kama hataki aende CAS.Unataka taarifa gani official zaidi ya taarifa iliyotolewa na Engineer Hersi na kuwekwa kwenye tovuti ya Yanga ikisema Nabi aliongezewa mkataba wa kuendeleq kubakia Jangwani mpaka 2024?
Okay, kama huamini hayo, tazama basi picha hapo.
Sijui kwa Nini mi naona sahihi kabisa kuondoka kwa hao watu maana wametumia nguvu nyingi sana huenda wasinge deliver kwa kiwango hicho tenaSina uhakika, ila mimi nadhani Nabi hakumaliza mktaba bali ameuzwa kwa vile waliomtaka walikuja na dau kubwa mara tatu ya analopata Yanga. Katika mawasiliano ya umma, Yanga wameamua kufupisha tu kuwa amemaliza mkataba bali ukweli ni kuwa Kaizer Chiefs wamemwaga hela ndefu sana pale Yanga ili kumpata Nabi. Nasikia wako njiani kuleta nyingine nyingi sana kumnasa Mayele na baadhi ya Wachezaji wa sasa ndani ya Yanga pamoja na sehemu ya benchi la ufundi la Yanga. Hata hivyo wanayanga wasiwe na wasiwasi kwani Injinia Hersi ataanza upya na kukamilisha kila kitu kabla msimu haujaanza.