Viongozi waache kuzuia watumiaji wa barabara kwa starehe zao binafsi

Jamaa Fulani Mjuaji

Senior Member
Joined
Jul 25, 2020
Posts
155
Reaction score
278
Hii tabia Imeota mizizi na inakera sana kisa kiongozi unazuia watumiaji wa barabara Kubwa mfano ya Mwanza kwenda Musoma, unazuia mabasi na magari yote yakusubiri utoke uliko na msafara unasubirisha magari zaidi ya masaa 2.

Kama mnapenda kutumia barabara peke yenu tengenezeni lane za Kutumia viongozi ili mjinafasi hata kama utachelewa na mpenzi wako mliko watumiaji wengine waendelee kutumia barabara.
 
Acha wafalme wapite bwana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…