Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
No reform no elections ni agenda ya kuwapotezea uelekeo wa kisiasa chadema na kuwapoteza kabisa kwenye ramani ya siasa.
Hakuna alie na uhakika ikiwa chadema watashiriki au hawatashiriki uchaguzi mkuu, kwasababu ya utata wa agenda hiyo ya mwenekiti wao isiyo na mashiko wala tija.
Hakuna kiongozi muandamizi chadema mwenye ujasiri wala uthubutu wa kuhubiri agenda hiyo isiyo na tija mpaka mioyoni mwao, na yenye lengo la kuchochea fujo na vurugu katika uchaguzi, Lakini pia ni agenda ya kuwakosesha wanachadema uhuru na haki zao za kikatiba za kushiriki chaguzi huru, za haki na wazi, wa kuchagua viongozi wawapendao kuwaongoza katika maeneo yao na taifa kwa ujumla.
Kwa upotoshaji wa mwenyekiti wao taifa wanachadema wengi wapo hatarini kupoteza fursa na haki zao muhimu na za kihistoria za kikatiba kushiriki katika uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini.
Viongozi wengi wameduwaa na kukodoa macho tu wasielewe wataanzia wapi, namna ya kufafanua na kuhubiri agenda hiyo isiyo na faida kwa wananchi.
Na kwakua anayoielewa agenda hiyo Mwenyekiti pekeyake, ndio maana kutwa yupo na vyombo vya habari, kanakwamba hakuna watu wa kumsaidia ndani ya chadema, kumbe wasaidizi wake maskini ya Mungu hawajaelewa.
Mpaka kufikia October, ni wazi Mwenyekiti huyo mwenye mdomo na makelele mengi ya bure , atakua amechoka sana, na sijui itakuaje.
una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Pia soma