Viongozi waandamizi wa michezo kuhudhuria hafla za vyama ni sawa?

Viongozi waandamizi wa michezo kuhudhuria hafla za vyama ni sawa?

Rayase

Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
82
Reaction score
4
Ndugu zang wa jf
jana niliangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku TBC1 na kumwona madega na mwakalebela if not kaijage wakitao maoni yao juu katika hafla ya kurudisha form ya kugombea uraisi kupitia CCM. Wote wakiwa na mavazi ya CCM.

Najaribu kujiuliza kiongozi wa TFF/club kuhudhuria mambo ya chama ni sawa?
 
Wanajishaua tu hao ndio wale "court Jesters" anaowaita Kaka Mihangwa hawana lolote zaidi ya kumlamba viatu mheshimiwa ili nao wapate
 
Ndio ujue wabongo nuksi, wanaopinga na kujificha wengi lakini likitokea la kuuza nyago wote unawaona wanaunga mkono. Manake chama kitaendelea kushika hatamu kwa mtindo huu
 
Back
Top Bottom