Wahadhiri wote wa uchumi wa vyuo vyote vya Tanzania, sema wakitoa ushauri serikali haiufanyii kazi maana serikali yetu ina malengo yake tofauti na kuinua maisha ya Watanzania, malengo yake ni kuinua maisha ya mafisadi, mwulize Prof Wangwe alipiga kelele sana sasa ikabidi apewe nafasi ndani ya chama sasa ni kimya