Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

My friend Embu tumia logic kidogo siyo kuleta ishu za kutetea mambo ya utaifa hata kwa Jambo lisilo na msingi just kulinda utaifa,mtu au taifa litakuwa defined kuendana na mambo yake,taifa Lolote likiwa na mambo ya hovyo litakuwa defined kihovyohovyo Hivyo hivyo!In 21st century-science is data and data matters in every aspect of life.period
 
Kazi ya kuhamasisha anaiweza Makonda, Makonda angeweza hata kuwakusanya wana siasa wa mikoa jirani kwa posho ili waje wajae mabarabarani.
Mimi nafikiri watu wanajipanga wenyewe bila hata kuambiwa!!!!! Mahusiano ni kitu muhimu sana katika maisha!!!!! Uwanjani siku ya kuaga kitaifa wamejaa wanafunzi na uniform zao!!!!!!! Watu wazima wako wapi? Tutafakari.
 
CORONA IPO, INAUA.
NA IMEMUUA JAMAA
 
hata balozi wao hapa nchini ni mwakilishi, sisi tulipeleka maraisi wawili wastaafu, hii ni dharau, Mkapa aliwasaidia sana, wangeonyesha hata unafiki tu.
Kweli mkuu wametudharau sana hawa majirani
 
Usipoenda kwao msiba wa jirani watakujaje?
 
Mimi nafikiri watu wanajipanga wenyewe bila hata kuambiwa!!!!! Mahusiano ni kitu muhimu sana katika maisha!!!!! Uwanjani siku ya kuaga kitaifa wamejaa wanafunzi na uniform zao!!!!!!! Watu wazima wako wapi? Tutafakari.
Watu wazima wapo busy kutafuta njururu, na nimeshangaa sana Magufuli pamoja na kulia kwake uwanjani na kutusisitizia kwamba mzee mkapa ndiye aliyemfikisha hapo alipo lakini ameshindwa kutenga hata siku mbili tu za mapumziko ili watu wawape wasaa wa kumuaga mpendwa wao.
 
atakuambia "HAPA KAZI TU"
 
Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…