Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Shida ipo mkuu JPM hutuma watu wazito kama walivyofanya BURUNDI

Matokeo ya Poor Diplomacy, kila sehemu unatuma watu unategemea nini? Haya mambo ya kutuma watu wanafanya mataifa yenye nguvu kweli kweli za kiuchumi na Kijeshi.

Jambo la pili kwenye tatizo COVID-19 tulichukua muelekeo tofauti na muelekeo wa Dunia.
 
Hivi ni kwa nini hata barabarani unakopita mwili hakuna raia wamejipanga kupunga mikono? Ni wachache sana kwa kiongozi Mkuu wa nchi aliyepita. Au hawakuhamasisha?
Watu wametapeliwa pesa zao za Korosho...
 
Hawampendi Magufuli kwa ubabe wake amejikuta mpweke waziri mkuu wa Burundi kamtoa kimasomaso
 
Kiti bado cha moto asije kutoka watu wakapindua meza
 
Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
Kumbe Hamjaelewa kitu,; Keny ni wataalam wa kucheza na Fursa. Kuna tetesi wanazalisha takwimu ili Wavute Mpunga Mrefu Sham on them
 
Ungeelewa na hata Kubobea tu katika Itifaki na Principles zake Kuu wala usingeshangaa kutowaona leo akina Rais Museveni na Rais Kagame Mkuu.

Kuna wakati unaongea vitu vya maana, then kuna wakati unaongea UPOLOTO kama huu. Protokali gani hizo unazojua mwenzetu ambazo sie hatuzijui? It is this simple: hakuna Rais Mwenye akili timamu anayeweza kuzuru Tanzania muda huu. Nyie endeleeni kuficha takwimu za korona makalioni, mtakapotengwa na kila mtu ndio mtagundua kuwa kuficha tatizo kunaweza kuzua tatizo kubwa zaidi ya unaloficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…