BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Mazungumzo hayo yamefanyika wakati Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiendelea kutafuta njia za kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum licha ya muda wa wiki moja iliyotoa kwa Wanajeshi hao kumalizika.
Marekani na Ufaransa zimeungana na ECOWAS kutaka Niger ivamiwe Kijeshi ili kurejesha Utawala wa Kiraia. Nchi nyingine zilizokumbwa na Mapinduzi ndani ya miaka 3 kutoka Afrika Magharibi ni Burkina Faso, Mali, Chad, Guinea na Niger yenyewe.