Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,098
- 3,038
- Thread starter
-
- #21
usituchafulie chuo chetu kama unashindwa kusema VIONGOZI WA CCM NDIO WALOTUFIKISHA HAPA TULIPO NYAMAZA KIMYA!!!
kwa hiyo udsm wanafundisha ufisadi na kutoa na kupokea rushwa ? ingekuwa vizuri ungefikiria before posting a thread!!
Window7
Yesterday 04:15
#1 Senior Member Array
Join Date : 17th September 2001
Posts : 632
Rep Power : 351
Likes Received23
Likes Given5
[h=2]Viongozi Waliosoma UDSM Wameshindwa. Tuhamie Vyuo Vyengine.[/h] Kiukweli asilimia kubwa ya viongozi waliopo serikalini wamesoma UDSM.
Viongozi hawa wamefanya mambo hasi kama haya.-:
1. Kushuka kwa Elimu Yetu.
2. Kuongeza umasikini nchini.
3. Kushindwa kusimamia vyema huduma za jamii.
4. Kuongozeka kwa Ufisadi nchini.
5. Kupelekea Walimu kudharaulika nchini.
6. Ajira kutolewa kwa kujuana.
7. Bunge kukosa maadili.
......8........9.........10... ......11..........12.......... ................!!!!
Hayo ni baadhi tu ila yapo mengi sana.
Mwl Nyerere hakusoma UDSM na Nchi ilikua shwari kabisa tena yenye maadili.
Ni Wakati Sasa Wakuchagua Viongozi Kutoka Vyuo Vingine UDSM Imeshindwa Kuzalisha Viongozi Bora
So What?