Very interesting. Majukwaa ya ibada yasitumike na wanasiasa kufanya propaganda! Vraiment?
Kumekuwa na msuguano mkali sana kati serikali iliyopo madarakani na Vyama vya Upinzani. Vyama vya Upinzani vimekuwa vikilalamika kuwa vimehujumiwa sana hasa kwenye chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Kutokana na upande wa serikali kutotaka kukaa pamoja na Vyama vya Upinzani na kuzimaliza tofauti zao, baadhi ya vyama hivyo vya Upinzani vimeanzisha vuguvugu la kulazimisha mabadiliko. Pamoja na hayo, serikali bado haijaona umuhimu wa kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao.
OMBI LANGU KWENU viongozi wa Dini ni kwamba, ebu fanyeni utaratibu. Waiteni viongozi wa serikali kwa upande mmoja na upande mwingine viongozi wa vyama vya Upinzani. Ninyi mkiwa kama wapatanishi wakuu, toeni nafasi kwa kila upande kueleza dukuduku zake zote kisha jipeni muda ili kuchambua kwa kina maelezo ya kila upande, na mwishowe toeni majibu bila kupendelea upande wowote na yasimamieni makubaliano ya hizo pande mbili.
Nafikiri kwa kufanya hivyo mtakuwa mmetimiza wajibu wenu vizuri sana na Mungu atawabariki.
Ifahamike kuwa, tukiacha hizi pande kutunishiana misuli bila kusuluhisha, ipo siku hakutakuwa tena na fursa hiyo ya kuzikutanisha pande hizo kwa sababu maji yatakuwa yameshamwagika tayari.
Nawasilisha.
Hakuna muda huo kwa sasa hivi. Muda uliopo ni wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu kwa taratibu ambazo vyama vingi vya siasa nchini viliuridhia.Kumekuwa na msuguano mkali sana kati serikali iliyopo madarakani na Vyama vya Upinzani. Vyama vya Upinzani vimekuwa vikilalamika kuwa vimehujumiwa sana hasa kwenye chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Kutokana na upande wa serikali kutotaka kukaa pamoja na Vyama vya Upinzani na kuzimaliza tofauti zao, baadhi ya vyama hivyo vya Upinzani vimeanzisha vuguvugu la kulazimisha mabadiliko. Pamoja na hayo, serikali bado haijaona umuhimu wa kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao.
OMBI LANGU KWENU viongozi wa Dini ni kwamba, ebu fanyeni utaratibu. Waiteni viongozi wa serikali kwa upande mmoja na upande mwingine viongozi wa vyama vya Upinzani. Ninyi mkiwa kama wapatanishi wakuu, toeni nafasi kwa kila upande kueleza dukuduku zake zote kisha jipeni muda ili kuchambua kwa kina maelezo ya kila upande, na mwishowe toeni majibu bila kupendelea upande wowote na yasimamieni makubaliano ya hizo pande mbili.
Nafikiri kwa kufanya hivyo mtakuwa mmetimiza wajibu wenu vizuri sana na Mungu atawabariki.
Ifahamike kuwa, tukiacha hizi pande kutunishiana misuli bila kusuluhisha, ipo siku hakutakuwa tena na fursa hiyo ya kuzikutanisha pande hizo kwa sababu maji yatakuwa yameshamwagika tayari.
Nawasilisha.
Hakuna muda huo kwa sasa hivi. Muda uliopo ni wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu kwa taratibu ambazo vyama vingi vya siasa nchini viliuridhia.
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliharibiwa kwa makusudi, na Samia amekiri jana.
Kwahiyo basi huo Uchaguzi ni batili urudiwe tena baada ya kupatikana Tume HURU ya Uchaguzi.
NO REFORMS NO ELECTION LINDA DEMOKRASIA
Wakiongozwa na mufti njaa ,anayejali zaidi tumbo lakeKuna haja ya kuendesha opersheni ya kuwakataa viongozi wote wa dini wanaoshabiki uchawa wa kifara
Nimekuelewa vyema.Ccm haina Cha kitu cha kupoteza kwa Sasa isipokuwa Wapinzani ndio ambao wanayo ya kupoteza kutokana na kuwepo kwa Katiba mbaya inayakandamiza Haki zao. Hivyo, hata Kama watakutanishwa ili kupatanishwa Kamwe hapatakuwa na matokeo yoyote yale ya maana yatakayopatikana kwa sababu Ccm itagomea kurekebisha kasoro zilizopo kwenye Katiba ambazo ndiyo kiini cha kuwepo kwa misuguano Kati yao.
Ili kuhakikisha kwamba kunakuwepo na Mjadala wa Upatinishi wenye kuleta matunda mazuri kwa pande hizo zote ni kwa kuifanya Ccm nayo iathirike au iwe inapoteza kitu fulani sawasawa na hali jinsi ilivyo kwa Washindani wao wa kisiasa. Kwa kufanya hivyo, ndipo muafaka wenye manufaa kwao pande zote unaweza ukapatikana.
Mimi nilipokuwa nikimwona huko nyuma nilidhani ni mtu mmoja wa maana sana, kumbe hamna kitu kabisaWakiongozwa na mufti njaa ,anayejali zaidi tumbo lake
Katiba ya Marekani ilipigiwa kura na Wamarekani wangapi? Katiba ya Uingereza ilipigiwa kura na Waingereza wangapi? Usilete ujuaji usioujua!Waridhiaji wa kupitishwa kwa Taratibu, Sheria, Kanuni na Katiba ya nchi katika nchi yoyote ile ni Wananchi wengi zaidi waliopo katika nchi husika. Na Katiba ya nchi ikiwa Kama ni Muongozo Mkuu kabisa katika kuendelesha shughuli zote katika Nchi.
Je, ni Wananchi gani hasa katika nchi hii waliipigia Kura za ndiyo na kuipitisha Katiba hii iliyopo hivi sasa hapa Tanzania???