Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Wenzetu wamepigana pini wao kwa wao, uwanja wameshauchafua kwa mipango yao ya nje, naomba mtupe kazi kesho asubuhi tubebe mafagio na dawa zetu tunazozijua wenyewe tukausafisha uwanja ule ili aibu iliyowakuta wenzetu kesho isitukute.
Tafadhalini sana viongozi, mechi tulizocheza uwanja wa Taifa hatukucheza vizuri zote, mechi na Bravos hatukucheza vizuri uwanja wa Mkapa, mechi na mtunisia nayo imetulazimisha dakika za jioooooooni Kibu Dennis alete furaha, kesho tunahitaji ushindi mapema, ili tushinde lazima uwanja tuusafishe vinginevyo hata kama tumefuzu lakini itakuwa aibu sana.
Uwanja usafishwe kesho asubuhi na mashabiki wenyewe wa simba wachache nikiwemo mie ili nikawashikishe adabu watunisia hao, dawa yao ipo kama mtatuamini baadhi yetu.