Una akili sana....Maana naona mnayatumia magazeti kwa kupamba usajiri wa Niyonzima.Diye tungependa mtupe na mrejesho wa rufaa yetu bhana acheni kutuona watoto wadogo sisi kwa kutudanganyishia pipi ili tulale!!
Hata msajili Messi, hili swali tutawauliza tu ....msifanye kila mtu ni mchumia tumbo km hao mliowazoesha !!Wewe ni mamluki, kwa sasa tunafanya usajili kwa ajili ya ligi za ndani na za kimataifa, usituhamishe kwenye lengo.
Hata msajili Messi, hili swali tutawauliza tu ....msifanye kila mtu ni mchumia tumbo km hao mliowazoesha !!
Sijakuelewa maana mm naongelea issue ya FIFA, sisi wanachama wa SSC wenye akili zetu tunataka majibu !!Okay, nadhani issue ya Niyonzima imewauma sana.
Tumeshakubali kwamba mmechukua ubingwa, sisi tunajikita kwa mambo ya mbeleni.
Sijakuelewa maana mm naongelea issue ya FIFA, sisi wanachama wa SSC wenye akili zetu tunataka majibu !!
Kwa nn, umezoea wale wa buku buku wa kuwaongopea kila siku ?. Ipo ingawa zilipoliwa hela za rambirambi ya mafisango niitupa !! Zile zilizofuatia si ndiyo zinafutika baada ya muda, yaani kuna mijizi ktk uongozi labda tuombe ngosha awatumbue..Mkuu kadi yako ya uanachama iko active?
Tuachie timu yetu wewe dogo,unajua tumetoka nayo wapi?Wewe ni mamluki, kwa sasa tunafanya usajili kwa ajili ya ligi za ndani na za kimataifa, usituhamishe kwenye lengo.
Tuachie timu yetu wewe dogo,unajua tumetoka nayo wapi?
Tunataka mrejesho wa pointi zetu fasta!
Mambo ya Niyonzima ni umbumbumbu tu!!
Hivi hao Niyonzima na Okwi ndio chanzo cha kuukosa ubingwa miaka yote hiyo!!!
Tunazitaka pointi zetu kutoka FIFA!!
Jibu mujarabuKwa nn, umezoea wale wa buku buku wa kuwaongopea kila siku ?. Ipo ingawa zilipoliwa hela za rambirambi ya mafisango niitupa !! Zile zilizofuatia si ndiyo zinafutika baada ya muda, yaani kuna mijizi ktk uongozi labda tuombe ngosha awatumbue..
Hao sasa hv mnapata kiki lkn itafika mahali kabla hata ya nusu msimu....nao mtasema wanauza, au wamezeeka...
Hapana hatupendi kuonewa, tunataka point 3 zetu ili tuchukue kombe letu ,hayo mengine yatafuata.Wewe ni mamluki, kwa sasa tunafanya usajili kwa ajili ya ligi za ndani na za kimataifa, usituhamishe kwenye lengo.