Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Moja ya mechi ngumu mikoani ni pamoja na hawa wanajeshi wa mpakani, Mashujaa, msimu huu wako vizuri sana, leo nimewaona wakiipelekesha Fountain Gate pale Kirumba na ilikuwa waondoke na point 3 lakini Salum Kihimbwa akasawazisha.
Mashujaa wamebadilika sana, msimu uliopita hawa jamaa kule kwao walitukazia tukatoka nao sare, msimu huu wako vizuri sana kuliko msimu uliopita, ombi langu viongozi wa Simba mechi hii tuipe uzito na tujue kabisa tunakwenda kupambana na timu ngumu sana msimu huu, hawa jamaa wametupania sana.
Kocha Fahdu aambiwe kuwa hii mechi ni ya kuweka watu wa kazi mwanzo mwisho, tunataka kumaliza mchezo kipindi cha kwanza tu.Inshaallah