Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hili la Simba kukata upepo dakika ya 70 linashtua mnoTimu yoyote ikiweza kukabiliana na Simba kwa dakika 20 za mwanzo basi timu hiyo ina nafasi kubwa ya kupata sare au kushinda. Simba hucheza vizuri kwa dakika 20 za mwanzo tu
Wapo akina Debora Fernandes MavamboWatu wa kazi wenyewe wapo?
Moja ya mechi ngumu mikoani ni pamoja na hawa wanajeshi wa mpakani, Mashujaa, msimu huu wako vizuri sana, leo nimewaona wakiipelekesha Fountain Gate pale Kirumba na ilikuwa waondoke na point 3 lakini Salum Kihimbwa akasawazisha.
Mashujaa wamebadilika sana, msimu uliopita hawa jamaa kule kwao walitukazia tukatoka nao sare, msimu huu wako vizuri sana kuliko msimu uliopita, ombi langu viongozi wa Simba mechi hii tuipe uzito na tujue kabisa tunakwenda kupambana na timu ngumu sana msimu huu, hawa jamaa wametupania sana.
Kocha Fahdu aambiwe kuwa hii mechi ni ya kuweka watu wa kazi mwanzo mwisho, tunataka kumaliza mchezo kipindi cha kwanza tu.Inshaallah
Wavulana wakina Balua na ChasambiWatu wa kazi wenyewe wapo?
Usimsahau Mutale na KibuWatu wakazi kina ahua? Machezi hawajui sehem gani yatoe pass sehem gani yapige shuti hivyo kabsa
HahaaWavulana wakina Balua na Chasambi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hadi wehu .Nimwendo wa kugalagalaSimba ina kazi kwelikweli kila mtu anataka kuishauri hadi wehu wanataka kuishauri.
Kwani kwenye hii ligi timu inayotakiwa kushinda ni simba tu? Wengine hawatakiwi kushinda? Hawatakiwi kupewa ushauri?
Namungo,azam , dodoma jiji hawahitaji ushauri ?
Kuna mchezaji wako yoyote wa eneo analocheza Ahoua kwenye hii Ligi mpaka sasa anamzidi perfomance Ahoua?Watu wakazi kina ahua? Machezi hawajui sehem gani yatoe pass sehem gani yapige shuti hivyo kabsa
namungo kafa 3 wakimbizi lazima wafe4 nimwendo wa kuwapiga tu ndugu yangu hakuna namnaMoja ya mechi ngumu mikoani ni pamoja na hawa wanajeshi wa mpakani, Mashujaa, msimu huu wako vizuri sana, leo nimewaona wakiipelekesha Fountain Gate pale Kirumba na ilikuwa waondoke na point 3 lakini Salum Kihimbwa akasawazisha.
Mashujaa wamebadilika sana, msimu uliopita hawa jamaa kule kwao walitukazia tukatoka nao sare, msimu huu wako vizuri sana kuliko msimu uliopita, ombi langu viongozi wa Simba mechi hii tuipe uzito na tujue kabisa tunakwenda kupambana na timu ngumu sana msimu huu, hawa jamaa wametupania sana.
Kocha Fahdu aambiwe kuwa hii mechi ni ya kuweka watu wa kazi mwanzo mwisho, tunataka kumaliza mchezo kipindi cha kwanza tu.Inshaallah
Mtapigwa kama ngoma.Moja ya mechi ngumu mikoani ni pamoja na hawa wanajeshi wa mpakani, Mashujaa, msimu huu wako vizuri sana, leo nimewaona wakiipelekesha Fountain Gate pale Kirumba na ilikuwa waondoke na point 3 lakini Salum Kihimbwa akasawazisha.
Mashujaa wamebadilika sana, msimu uliopita hawa jamaa kule kwao walitukazia tukatoka nao sare, msimu huu wako vizuri sana kuliko msimu uliopita, ombi langu viongozi wa Simba mechi hii tuipe uzito na tujue kabisa tunakwenda kupambana na timu ngumu sana msimu huu, hawa jamaa wametupania sana.
Kocha Fahdu aambiwe kuwa hii mechi ni ya kuweka watu wa kazi mwanzo mwisho, tunataka kumaliza mchezo kipindi cha kwanza tu.Inshaallah
Anaonekana tu kwenye mechi za mikakati pekee.Kuna mchezaji wako yoyote wa eneo analocheza Ahoua kwenye hii Ligi mpaka sasa anamzidi perfomance Ahoua?
Acha chuki
Jibu swali achana na maneno ya kwenye kahawaAnaonekana tu kwenye mechi za mikakati pekee.
1) vs Tabora wachezaji wa kigeni hawakuruhusiwa kucheza
2) vs Fountain gate, wachezaji wa kigeni hawakuruhusiwa kucheza
3) vs Namungo tawi
4) vs Yanga msaada 0
5) vs Dodoma msaada 0
6) vs Coastal msaada 0
7) vs Prisons msaada 0
Huyo Dube hata game za Mikakati hafungi..Hata Yale magoli yenu Tata hawezi! Huyo Aziz Ki ni kama ana kinyama makalioniAnaonekana tu kwenye mechi za mikakati pekee.
1) vs Tabora wachezaji wa kigeni hawakuruhusiwa kucheza
2) vs Fountain gate, wachezaji wa kigeni hawakuruhusiwa kucheza
3) vs Namungo tawi
4) vs Yanga msaada 0
5) vs Dodoma msaada 0
6) vs Coastal msaada 0
7) vs Prisons msaada 0
Ndio ujue Yanga haitegemei mchezaji mmoja mmoja, pamoja na performance mbovu ya Dube na Aziz Ki ila timu haijaruhusu goli na tokea msimu uanze imeshinda michezo yote ya kimashindano. Timu yako Mavambo akitepeta tu shughuli imeishaHuyo Dube hata game za Mikakati hafungi..Hata Yale magoli yenu Tata hawezi! Huyo Aziz Ki ni kama ana kinyama makalioni
Kwahiyo mtoa uzi ni mwehu?Simba ina kazi kwelikweli kila mtu anataka kuishauri hadi wehu wanataka kuishauri.
Kwani kwenye hii ligi timu inayotakiwa kushinda ni simba tu? Wengine hawatakiwi kushinda? Hawatakiwi kupewa ushauri?
Namungo,azam , dodoma jiji hawahitaji ushauri ?