Superjet ndenji
Member
- Sep 22, 2019
- 94
- 127
hebu tujadili hili kidogo kwanini nchi nyingi za kiafrika kiongozi akishapewa mamlaka makubwa anajikuta yeye ndio ana akili nyingi na uelewa mpana kuliko yoyote je hiyi hali inatokana na nini? na nini? tiba yake kwa hawa watu wa namna hiyi karibuni wajuvi wa mambo mtusaidie kuelewa