Viongozi wengi wa smz kuwa nje ya serekali na chama 2010

Viongozi wengi wa smz kuwa nje ya serekali na chama 2010

Black Jesus

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2008
Posts
256
Reaction score
10
Wale ambao hawatokubali serakali moja watajikuwa nje ya madaraka ifikapo uchaguzi ujao wa 2010 .
 
Kwani 2010 kutakuwa na serikali moja badala ya tatu? Maana sija sikia taarifa zozote kuwa kutakua na serikali moja badala ya tatu ifikapo 2010. Thread yako interesting but it lacks details & evidence. Walao toa source basi mkuu.
 
Hebu fafanua hapa patamu kidogo.

ajenda zote zimeshwa kamiliswa na kwa wale watakao lipinga watahitajika kurejesha kadi za uwanachama zaidi kuna mengi tutayasikia tuwe wenye kusubiri (mambo mazuri hayataki haraka )
 
Black Jesus,Mw'falsafa1
kama ajenda za serikali moja ya muungano hilo wasubiri wrath na hasira ya wazanzibar wote inabidi mpaka sisi tulioko huku kwa "maza" Merkel turudi kusaidia "jeshi" la ukombozi, lakini kama ni serikali ya umoja wa kitaifa baina ya vyama vya siasa aaah! hilo kwa mikono miwili na lije.
 
Je wazazni this is possible au serikali yetu ni maneno zaidi ya vitendo tena? Maana dah kuna mambo tuna sikia siku nenda rudi lakini zinaishia tu mezani.
 
Hivi kwa akili zenu mnadhani kuna serikali mbili hivi sasa!
 
Back
Top Bottom