Unapokuwa unasubiri jambo,na kwa mapana yake ,wahusika wenye dhamana haswa viongozi walio na dhamana ya kuaminisha au kuondolea utata jambo hilo wanapokuja na kauli za kilaghai na kitapeli,huu ni utesaji na kutoa mateso kwa yule anayesubiri jambo hilo tena kwa muda mrefu sana.Hapa nazungumzia kauli yenye utata wa kutokutimia malengo kama ilivyotolewa na katibu mkuu wa OWM TAMISEMI-KUHUSU AJIRA MPYA ZA WALIMU,kama isipotimia kauli yake hiyo aliyotoa,tena kwa tarehe rasmi kama ya leo,KIONGOZI HUYU ATAKUWA NI MTESAJI WA KIFIKRA,KIMWILI NA KIUTENDAJI KWA WATANZANIA WENGI AMBAO MACHO YAO YOTE YAKO MTANDAONI KUSUBIRI HATMA ZAO.KIONGOZI HUYU ATAKUWA AMEDHALILISHA OFISI YA WAZIRI MKUU,ATAKUWA NI MROPOKAJI NA TAPELI KWA MINAJILI YA KUTETEA JAMBO AMBALO HANA UHAKIKA NALO NA HATEGEMEI KAMA HATA LITAKUWA NA UHAKIKA JAMBO HILO.Kiongozi mkubwa kama yeye asije kuwaweka Watanzania WAALIMU waishi maisha ya kubahatisha kama yeye ANAVYOBAHATISHA KAULI ZAKE KWA KUTUFANYA WALIMU WAJINGA.