Viongozi wetu wa dini zote, kemeeni vitendo vya imani za kishirikina kwa wanasiasa pamoja na wasaka vyeo na utajiri

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Tunawaomba sana Viongozi wetu wa dini kwa imani zote wakemee vitendo vya kishirikina na ramli chonganishi vinavyo chagizwa zaidi na Wanasiasa wenye uchu wa kutafuta nafasi za teuzi, wasaka vyeo/madaraka na wasaka utajiri, makundi hayo baadhi yao ndio wanao chochea kwa kiasi kikubwa wimbi la watoto wetu kuuwawa na kunyofolewa viungo vyao.

Bado tuna kundi kubwa sana la watu wanao amini Ushirikina/nguvu za giza. wanaamini bila ushirikina hawezi kufanikiwa kwenye siasa, uteuzi, vyeo, kutetea nafasi aliyo nayo na hata utajiri.

Tukemee vikali na pia tuwabainishi watu wanao jihusisha na mambo ya kishirikina.

Hakuna cheo wala uteuzi utakao patikana kwa nguvu za giza/kishirikina.

Tuwakatae wanasiasa wanao tegemea nguvu za kishirikina.
 
tunawaomba sana Viongozi wetu wa dini kwa imani zote wakemee vitendo vya kishirikina na ramli chonganishi vinavyo chagizwa zaidi na Wanasiasa wanao tafuta nafasi za teuzi, wasaka vyeo/madaraka na wasaka utajiri, makundi hayo baadhi yao ndio wanao pelekea wimbi la watoto wetu kuuwawa na kunyofolewa viungo vyao.

Bado tuna kundi kubwa sana la watu wanao amini Ushirilina/nguvu za giza. wanaamini bila ushirikina hawezi kufanikiwa kwenye siasa, uteuzi, vyeo, kutetea nafasi aliyo nayo na hata utajiri.

tukemee vikali na pia tuwabainishi watu wanao jihusisha na mambo ya kishirikina.

hakuna cheo wala uteuzi utakao patikana kwa nguvu za giza/kishirikina.

tuwakatae wanasiasa wanao tegemea nguvu za kishirikina.
Yani hiki kitu ata wakemee wakiwa uchi haya Mambo hayataisha. 🥺😥
 
Kuuliwa kwa watoto ni jinai. Imani ni Imani, mtu anaweza kuamini Imani yoyote bila kumdhuru mwingine. Imani isiyo ya kishirikina ni ipi? Mbona huko Kagera padre wa kanisa kaua alibino kwani ni muumini wa imani gani?
Tufike sehemu tuweze kutenganisha Imani na jinai au matendo ya mtu mmoja mmoja
 
Viongozi gani? Hawa hawa wanaouza ''mafuta ya upako''? Wana tofauti gani sasa na washirikina? Tofauti ni vilinge vya kufanyia kazi tu.
 
Kuuliwa kwa watoto ni jinai. Imani ni Imani, mtu anaweza kuamini Imani yoyote bila kumdhuru mwingine. Imani isiyo ya kishirikina ni ipi? Mbona huko Kagera padre wa kanisa kaua alibino kwani ni muumini wa imani gani?
Tufike sehemu tuweze kutenganisha Imani na jinai au matendo ya mtu mmoja mmoja
kweli ni jinai iliyo sababishwa na msukumo wa Ushirikina/nguvu za giza.
kitendo cha mtu mmoja hakiweza kuzuia viongozi wetu wa Imani kukemea Matendo haya ya kishirikina yanayo kumbatiwa na kufanywa na baadhi ya wanasiasa wenye uchu wa wasaka vyeo, teuzi na Utajiri. lazima tukemee na tuwabaini.
 
tuwakatae watu wanao saka uongozi/uteuzi/vyeo na utajiri kwa nguvu za kichawi/kishirikina.
washindwee!
 
Kuna chama cha siasa na makabila fulani bila uchawi hawasongi mbele.Uchawi na roho mbaya ni kama kula ugali tu.Catalyst!
kila chama hawakosekani wanao tumia nguvu za kishirikina kubaki kwenye nafasi zao. kuna viongozi hawana vhamaana wanacho kifanya ktk nafasi zao lkn kila mwaka yupo tu anadunda......
 
5a5809589090c4c83249e86e2c69f9cc.jpg
baadhi ya wanajumuiya ya chama Cha Freemasonry wakipiga magoti na kuombewa na mapadri katika kanisa la roman catholic nchini Tanzania. 😃😃
 
Back
Top Bottom