Viongozi wote Yanga watangaza kujiuzulu

Huyu Nyika mpigaji bado alikuwepo ,alimdanganya Zahera amesajili kipa ,akamleta kipa wa mpira wa ufukweni
 
Reactions: Tui
Sasa nimeamini Lukumay na NYIKA hawana chanzo kingine cha mapato usipokuwa Yanga tu
Wanajiuzulu huku wanajificha huku Tumewaona ONDOKENI jamani tuwe na amani
 
Sasa nimeamini Lukumay na NYIKA hawana chanzo kingine cha mapato usipokuwa Yanga tu
Wanajiuzulu huku wanajificha huku Tumewaona ONDOKENI jamani tuwe na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…