Viongozi Yanga FC acheni propaganda uchwara kuwauza wachezaji wenu

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa za Afrika.

Lengo mashabiki na wanachama wawaone "mnafight" sana kumbe nyuma ya pazia mufanikishe exploitation Kwa unahisi! Sasa hivi story kubwa wydad wanamhitaji mzize😆.Tengenezeni timu tu hizi comedy Zina majukwaa yake.

Soma Pia: Clement Mzize huyu hapa kwenye rada ya Wydad Casablanca

FB_IMG_1725534640789.jpg
 
Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa.Lengo wanachama wawaone "mnafight".Sasa hivi wydad wanamhitaji mzize😆.Tengenezeni timu tu hizi comedy Zina majukwaa yake
Ni kwamba hautaki kama Kuna timu zimeleta ofa ama umeamua tu kukaza fuvu ....
 
Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa za Afrika.

Lengo mashabiki na wanachama wawaone "mnafight" sana kumbe nyuma ya pazia mufanikishe exploitation Kwa unahisi! Sasa hivi story kubwa wydad wanamhitaji mzize😆.Tengenezeni timu tu hizi comedy Zina majukwaa yake.

View attachment 3087788
Ndio umeandika pumba hivi, Rage alikuwa sahihi sana. Azizi Ki kwani ilikuwa ni siri kuwa anahitajika na Belouizdad, Kaizer Chiefs, n.k? Au unaishi vijijini huko hata yanayojiri duniani hajui? Ishu ya Mzize hata mwandishi wenu asiyeipenda Yanga kairipoti sasa inakuaje uone Yanga inafanya propaganda? Au ndio chuki na wivu? Yanga ina timu iliyokubamiza michezo mitatu mfululizo na kombe la ligi kuu, sasa wa kutengeneza timu ni nani kama sio timu yako iliyopigwa goli tano?
 
UNATAKA KUSEMA KILAA ANAEONGELEA YANGA VIBAYA NI MWANA SIMBA?
 
Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa za Afrika.

Lengo mashabiki na wanachama wawaone "mnafight" sana kumbe nyuma ya pazia mufanikishe exploitation Kwa unahisi! Sasa hivi story kubwa wydad wanamhitaji mzize😆.Tengenezeni timu tu hizi comedy Zina majukwaa yake.

View attachment 3087788
Hizo story kazileta Yanga au Oruma? Katembele insta page yake utaona alivyokuwa akipost kila siku,mara Wydad,Keizer sijui UK.
 
Ndio umeandika pumba hivi, Rage alikuwa sahihi sana. Azizi Ki kwani ilikuwa ni siri kuwa anahitajika na Belouizdad, Kaizer Chiefs, n.k? Au unaishi vijijini huko hata yanayojiri duniani hajui? Ishu ya Mzize hata mwandishi wenu asiyeipenda Yanga kairipoti sasa inakuaje uone Yanga inafanya propaganda? Au ndio chuki na wivu? Yanga ina timu iliyokubamiza michezo mitatu mfululizo na kombe la ligi kuu, sasa wa kutengeneza timu ni nani kama sio timu yako iliyopigwa goli tano?
Hizo Tano wewe hukupigwa na Simba au umezaliwa 2015?
 
Ndio umeandika pumba hivi, Rage alikuwa sahihi sana. Azizi Ki kwani ilikuwa ni siri kuwa anahitajika na Belouizdad, Kaizer Chiefs, n.k? Au unaishi vijijini huko hata yanayojiri duniani hajui? Ishu ya Mzize hata mwandishi wenu asiyeipenda Yanga kairipoti sasa inakuaje uone Yanga inafanya propaganda? Au ndio chuki na wivu? Yanga ina timu iliyokubamiza michezo mitatu mfululizo na kombe la ligi kuu, sasa wa kutengeneza timu ni nani kama sio timu yako iliyopigwa goli tano?
Rage yupo sahihi lakini pia mwanafalsafa haji manara aliwahi kusema wenye akili timamu Yanga ni wawili tu.Baba yake na Jk.Pamoja na Hilo tusi mkampa usemaji wa timu.Nyie mabumunda sugu kweli
 
Bora huku wapo wawili huko kwenu wote ni mambumbumbu.
 
Hii story ya Wydad na Mzize sijawahi kusikia wala kuona kiongozi yeyote wa Wydad akitamka hilo, ni kelele zao tu vyura.
 
Story ya Mayele ulisikia kwa kiongozi yupi wa Pyramids?
Boss wa timu alimtaka Mayele, na ndio maana akaondoka.

Huyo Mzize tangu aanze kuimbwa ni kelele tu, nothing special.
 
Back
Top Bottom