Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Ni kwamba hautaki kama Kuna timu zimeleta ofa ama umeamua tu kukaza fuvu ....Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa.Lengo wanachama wawaone "mnafight".Sasa hivi wydad wanamhitaji mzize😆.Tengenezeni timu tu hizi comedy Zina majukwaa yake
Ndio umeandika pumba hivi, Rage alikuwa sahihi sana. Azizi Ki kwani ilikuwa ni siri kuwa anahitajika na Belouizdad, Kaizer Chiefs, n.k? Au unaishi vijijini huko hata yanayojiri duniani hajui? Ishu ya Mzize hata mwandishi wenu asiyeipenda Yanga kairipoti sasa inakuaje uone Yanga inafanya propaganda? Au ndio chuki na wivu? Yanga ina timu iliyokubamiza michezo mitatu mfululizo na kombe la ligi kuu, sasa wa kutengeneza timu ni nani kama sio timu yako iliyopigwa goli tano?Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa za Afrika.
Lengo mashabiki na wanachama wawaone "mnafight" sana kumbe nyuma ya pazia mufanikishe exploitation Kwa unahisi! Sasa hivi story kubwa wydad wanamhitaji mzize😆.Tengenezeni timu tu hizi comedy Zina majukwaa yake.
View attachment 3087788
UNATAKA KUSEMA KILAA ANAEONGELEA YANGA VIBAYA NI MWANA SIMBA?Ndio umeandika pumba hivi, Rage alikuwa sahihi sana. Azizi Ki kwani ilikuwa ni siri kuwa anahitajika na Belouizdad, Kaizer Chiefs, n.k? Au unaishi vijijini huko hata yanayojiri duniani hajui? Ishu ya Mzize hata mwandishi wenu asiyeipenda Yanga kairipoti sasa inakuaje uone Yanga inafanya propaganda? Au ndio chuki na wivu? Yanga ina timu iliyokubamiza michezo mitatu mfululizo na kombe la ligi kuu, sasa wa kutengeneza timu ni nani kama sio timu yako iliyopigwa goli tano?
Hizo story kazileta Yanga au Oruma? Katembele insta page yake utaona alivyokuwa akipost kila siku,mara Wydad,Keizer sijui UK.Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa za Afrika.
Lengo mashabiki na wanachama wawaone "mnafight" sana kumbe nyuma ya pazia mufanikishe exploitation Kwa unahisi! Sasa hivi story kubwa wydad wanamhitaji mzize😆.Tengenezeni timu tu hizi comedy Zina majukwaa yake.
View attachment 3087788
Hizo Tano wewe hukupigwa na Simba au umezaliwa 2015?Ndio umeandika pumba hivi, Rage alikuwa sahihi sana. Azizi Ki kwani ilikuwa ni siri kuwa anahitajika na Belouizdad, Kaizer Chiefs, n.k? Au unaishi vijijini huko hata yanayojiri duniani hajui? Ishu ya Mzize hata mwandishi wenu asiyeipenda Yanga kairipoti sasa inakuaje uone Yanga inafanya propaganda? Au ndio chuki na wivu? Yanga ina timu iliyokubamiza michezo mitatu mfululizo na kombe la ligi kuu, sasa wa kutengeneza timu ni nani kama sio timu yako iliyopigwa goli tano?
Rage yupo sahihi lakini pia mwanafalsafa haji manara aliwahi kusema wenye akili timamu Yanga ni wawili tu.Baba yake na Jk.Pamoja na Hilo tusi mkampa usemaji wa timu.Nyie mabumunda sugu kweliNdio umeandika pumba hivi, Rage alikuwa sahihi sana. Azizi Ki kwani ilikuwa ni siri kuwa anahitajika na Belouizdad, Kaizer Chiefs, n.k? Au unaishi vijijini huko hata yanayojiri duniani hajui? Ishu ya Mzize hata mwandishi wenu asiyeipenda Yanga kairipoti sasa inakuaje uone Yanga inafanya propaganda? Au ndio chuki na wivu? Yanga ina timu iliyokubamiza michezo mitatu mfululizo na kombe la ligi kuu, sasa wa kutengeneza timu ni nani kama sio timu yako iliyopigwa goli tano?
Micky ni shabiki wa SimbaUNATAKA KUSEMA KILAA ANAEONGELEA YANGA VIBAYA NI MWANA SIMBA?
Bora huku wapo wawili huko kwenu wote ni mambumbumbu.Rage yupo sahihi lakini pia mwanafalsafa haji manara aliwahi kusema wenye akili timamu Yanga ni wawili tu.Baba yake na Jk.Pamoja na Hilo tusi mkampa usemaji wa timu.Nyie mabumunda sugu kweli
Machungu ya tano ya mwaka 2015 anayewezi kufanana na machungu ya juzi tu hapa watu wamepigwa tano na hadi sasa hawajakaa sawa kiakili.Hizo Tano wewe hukupigwa na Simba au umezaliwa 2015?
Umewahi kumuongelea baba yako vibaya?UNATAKA KUSEMA KILAA ANAEONGELEA YANGA VIBAYA NI MWANA SIMBA?
Story ya Mayele ulisikia kwa kiongozi yupi wa Pyramids?Hii story ya Wydad na Mzize sijawahi kusikia wala kuona kiongozi yeyote wa Wydad akitamka hilo, ni kelele zao tu vyura.
Boss wa timu alimtaka Mayele, na ndio maana akaondoka.Story ya Mayele ulisikia kwa kiongozi yupi wa Pyramids?