Viongozii wezi, wapenda sifa na wachumia matumbo

Viongozii wezi, wapenda sifa na wachumia matumbo

Melchizedek

Member
Joined
Jun 24, 2021
Posts
25
Reaction score
28
👉Kipindi cha magufuli kulikuwa ni ubabe kama ubabe! Kuna miradi kwa upande wangu haukuwa na tija!
Kuna fedha nyingi zimepotea!

👉Naamini hivi maana mwendazake hakuwai kutak CAG achukue nafasi yake kukagua matumizi ya fedha
Hayaa yote ni katiba yetu ya kizamani tumeikumbatia na wenye dola wanajua dhamani ya kutumia katiba ya sasa maana raisi ndo kila kitu!

👉Alafu kingine hivi sisi wananchi tunakuaga tumepuliziwa limbwata niniii... Maana nikama hatujawai kuzinduka kuwa hii inchi tupo pabaya kwanzia sekta ya Afya, Elimu na Hata kwenye uchumi wetu biashara zimekua za kubana sana!

👉Alafu ajira kila siku niza madakari na waalimu, ikiendaa sana IT na diplomasia.... Hawa wengine wanakanyaga lapaa na barua kwapani hawatajwi kwann? Au ni cozii za kisengerema!

👉Huku watu wanapeana majina yao kwa majengo iliyojengwa kwa fedha za watanzania! Lakin bado hatushtuki!

Ushauri wangu Ni tunywe maji mengi ya moto sana kutwa mara 3 ilikupunguza athari za limbwata kichwani! Alafu tuangalie viongozi kwa jicho la 3


0df558c53981043e7e819ed5eafc6fed.jpg


IMG_20210629_211946.jpg
 
Majina sio issue na usiishie kusema wezi! Ibua kashfa ya wizi na vithibitisho sio brabrabra banah
 
Back
Top Bottom