Vionjo vya kuvunja mbavu kutoka kwenye movies

Vionjo vya kuvunja mbavu kutoka kwenye movies

Gily Gru

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
8,632
Reaction score
23,673
Napendelea sana kuangalia movie na series za commedy na baadhi ya series commedy nashauri wapenda commedy wenzangu waziangalie (hapa nitataja kumi bora tu)
1. Friends
2. Seinfeld
3. The Big Bang Theory
4. Fraiser
5. Cheers
6. Malcolm in the middle
7. Scrubs
8. Boy Meets World
9. Brooklyn Nine
10. Mom (2013)

Tupia video fupi za commedy (series/ movie scenes) ambazo zimekuvutia ili wapenda commedy tujuane hapa (uandike na jina la commedy) husika:
 
mm sipendi series za kuchezesha napenda movie za kuchekesha pamoja na Action
1. Yanke zulu
2. Rush hour
3. The big mom
4. Jumanji 2
5. Little man
6. Central Intelligence
7. Bad boyz 1 hiyo 2 ndio ujinga mtupu 😂 cant wait niliona trailer niupuuzi humo 😂😂😂
 
Rush hours nimeona zote tatu, Jumanji nimeona, Little man duh ya kitambo sana. Umenikumbusha mbali sana ungetuwekea japo ka trailler na sie tufurahie huo ujinga mtupu
 
Rush hours nimeona zote tatu, Jumanji nimeona, Little man duh ya kitambo sana. Umenikumbusha mbali sana ungetuwekea japo ka trailler na sie tufurahie huo ujinga mtupu
Bad Boyz
 
Umesahau Blue streak ya Martin Lawrence.. ukitaka comedy angalia muvi za Leon Schuster kama vile..
  • Mr Bones
  • Ooh Schuck I'm Gatvo
  • You must be joking
  • Yankee zulu
  • Mama Jack
  • Mad budies
  • Ooh schuck you country needs you
  • Etc....
Angalia muvi zote za Jack chan na Stephen Chow.. hasa Shaolin soccer na Kung fu hustle
 
Duu kweli..ni nouma.
Uzi utakuwa kumbilio kama tukia attach short clip
 
Hawa jamaaa wa mad buddies wamekuwa kimya sana sijaona movie mpya zao mwaka huu na mwaka jana.
Ungetupia hata kapicha ka trailer mojawapo.

Sijaona mama jack, Ooh schuck you country needs you na you must be joking ngoja nizisake
 
Duu kweli..ni nouma.
Uzi utakuwa kumbilio kama tukia attach short clip

Uzi umelenga kuwakutanisha wapenda commedy, kitupia short clips za commedy movie/series ili wengine nao wapate kujua commedy zenye kueleweka
 
Deadpool 2 with little legs
 
Back
Top Bottom