mm sipendi series za kuchezesha napenda movie za kuchekesha pamoja na Action
1. Yanke zulu
2. Rush hour
3. The big mom
4. Jumanji 2
5. Little man
6. Central Intelligence
7. Bad boyz 1 hiyo 2 ndio ujinga mtupu 😂 cant wait niliona trailer niupuuzi humo 😂😂😂
Bad BoyzRush hours nimeona zote tatu, Jumanji nimeona, Little man duh ya kitambo sana. Umenikumbusha mbali sana ungetuwekea japo ka trailler na sie tufurahie huo ujinga mtupu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nadhani niliziangalia zaidi ya mara 10.American pie
Mhhhhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nadhani niliziangalia zaidi ya mara 10.
Umesahau Blue streak ya Martin Lawrence.. ukitaka comedy angalia muvi za Leon Schuster kama vile..
Angalia muvi zote za Jack chan na Stephen Chow.. hasa Shaolin soccer na Kung fu hustle
- Mr Bones
- Ooh Schuck I'm Gatvo
- You must be joking
- Yankee zulu
- Mama Jack
- Mad budies
- Ooh schuck you country needs you
- Etc....
sio mbali Jan 17 hapo tuombe uzima tutaiyonaTusubiri kwa hamu BAD BOYZ 3 2020