ElikanaKuenga
Member
- Oct 7, 2017
- 30
- 21
Lyrics hiz?Cause to you, bitches ain't shit but hoes and tricks)
Ha hah, dee dee dadi dadi dah
hiyo ni mikogo tu ya Simba...we ngoja kideo kitoke uone kitavopamba...we humjui huyu jamaa kwa swaga kwenye video zake! yaani anajua kuzirembaremba video zake kwa mashauzi kibao(ya kiume na kisanii lakini)....lets wait for this international fireNaon kama anamwogopa Rick Ross au ni lile lisauti anavorusha rusha mikono mond?
Nyimbo haitakuwa kwaajili ya wabongo
Hawezi enda popote alisha fall inlove huyo mama...bitches love fame and riches hasa zikiwa kwa mwanaume wampendae, ni ngumu kwa Zari kuacha fame alionayo mchizi kisa eti mwanaume kuzaa nje ilihali anajua ni wengi wanaililia hio chance!Kwa haraka haraka jinsi zari anavyopenda umaarufu kwa mafanikio haya ya mond, zari lazma ataendelea kukaba nafasi
lakini pia utaenda kwa nani na mitoto mitano ya baba tofaut kaka? ajitulize tu kwa mdogo wake waendeleze maisha.Hawezi enda popote alisha fall inlove huyo mama...bitches love fame and riches hasa zikiwa kwa mwanaume wampendae, ni ngumu kwa Zari kuacha fame alionayo mchizi kisa eti mwanaume kuzaa nje ilihali anajua ni wengi wanaililia hio chance!
Pia wameumbwa na huruma sana hawa mama zetu alinuna akasusa ila kashatulizwa na maneno matamu na ile attitude ya kijeuri ya platinumz mtoto wa kihuni toka Tandale. Kashaimisi anapeleka mzigo mwenyewe hahah kama kawaida ya KE wa kiafrika.
Hahahahah et mdogo wakelakini pia utaenda kwa nani na mitoto mitano ya baba tofaut kaka? ajitulize tu kwa mdogo wake waendeleze maisha.
RozzayyyyVIONJO VYA NYIMBO YA | ROZZAY NA PLATNUMZ Tazama
Unamjua vizuriKwa haraka haraka jinsi zari anavyopenda umaarufu kwa mafanikio haya ya mond, zari lazma ataendelea kukaba nafasi