mwanangu kuna concept hujaielewa inakuchanganya sana.
OEM ni Original equipment manufacturer
Kwa kifupi ni mtengenezaji original wa kifaa/ spare
hii term OEM inatumika kwenye nyanja nyingi hasa kwa vitu vinavyotumia spare Especial magari hata vifaa vingine.
neno OEM lipo kwa sababu kuna watengenezaji wengine wa spare ambao sio wazalishaji wa bidhaa.
Natoa mfano.
Toyota anatengeneza gari. Gari lina brake na zinaisha. Toyota anatengeneza brake za kuuza kama spare (Hizo brake ndio OEM). kuna makampuni mengine zaidi ya 20 yanatengeneza brake hizo hizo kwa ajili ya Toyota ( After market)
Sasa ukitaka kununua Kioo either ununue alichotengeneza Apple mwenyewe (OEM) au walichotengeneza watengenezaji wengine (After market).
So usikalili OEM kuwa ni aina ya Kioo, No ni neno la kibiashara kwa spare parts zozote za kitu chochocte.
Pia kuna faida na hasara za kununua OEM na after market. kuna baadhi ya vitu vya after market vinaboresha muonekano na thamani, lakini kuna baadhi vinashusha.
Mfano ukinunua kioo ambacho sio OG cha iphone, ni wazi simu yako itashuka thamani.
View attachment 2442865
Hiii ni taa original (OEM) ya toyota Kluger
View attachment 2442866
Na hii nitaa after market ya kluger. So utachagua wewe