Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Sawa sawa na cha iPhone XR kinakua ni retina LCD au oledOEM maana yake ni Original Equipment Manufacturer
Kioo cha OEM maana yake ni KIOO kilichotengenezwa na Mtengenezaji Sahihi.
Vioo vingi ni vya makampuni tofauti na aliyeteuliwa na Apple
Kwa hiyo nikitaka kununua niagize oled na sio oem si ndio nikiagiza OEM si kinakuja lcdXr og ni lcd, cheki specs gsmarena kujua simu gani inakuja na kioo kipi.
Kwa hiyo nikitaka kununua niagize oled na sio oem si ndio nikiagiza OEM si kinakuja lcd
Kama OG chenyewe ni LCD ukinunua Oled inamaana kitakuwa sio Og. Na wachina sio wa kuaminika mkuu, kama kuna chance ya kupata kioo chenyewe hata kama ni LCD weka chenyewe.Kwa hiyo nikitaka kununua niagize oled na sio oem si ndio nikiagiza OEM si kinakuja lcd
Wakuu katika kutafuta kioo cha iPhone xr online nikakutana na hii Aina mpya ya kioo inaitwa OEM Na bei yake ime Chang amka kidogo kuliko OLED naombeni msaada wa Aina ya hicho kioo kabla sijanunua
Wamenielewesha nimeelewa sasa😁OEM sio Aina ya kioo
Hata Mimi nimenunua shockup za gari yangu OEM
Maelezo yako yamenyooka kama rulamwanangu kuna concept hujaielewa inakuchanganya sana.
OEM ni Original equipment manufacturer
Kwa kifupi ni mtengenezaji original wa kifaa/ spare
hii term OEM inatumika kwenye nyanja nyingi hasa kwa vitu vinavyotumia spare Especial magari hata vifaa vingine.
neno OEM lipo kwa sababu kuna watengenezaji wengine wa spare ambao sio wazalishaji wa bidhaa.
Natoa mfano.
Toyota anatengeneza gari. Gari lina brake na zinaisha. Toyota anatengeneza brake za kuuza kama spare (Hizo brake ndio OEM). kuna makampuni mengine zaidi ya 20 yanatengeneza brake hizo hizo kwa ajili ya Toyota ( After market)
Sasa ukitaka kununua Kioo either ununue alichotengeneza Apple mwenyewe (OEM) au walichotengeneza watengenezaji wengine (After market).
So usikalili OEM kuwa ni aina ya Kioo, No ni neno la kibiashara kwa spare parts zozote za kitu chochocte.
Pia kuna faida na hasara za kununua OEM na after market. kuna baadhi ya vitu vya after market vinaboresha muonekano na thamani, lakini kuna baadhi vinashusha.
Mfano ukinunua kioo ambacho sio OG cha iphone, ni wazi simu yako itashuka thamani.
View attachment 2442865
Hiii ni taa original (OEM) ya toyota Kluger
View attachment 2442866
Na hii nitaa after market ya kluger. So utachagua wewe
Jf bhana..Nzuri sanamwanangu kuna concept hujaielewa inakuchanganya sana.