EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Sio simu za bei rahisi Bali refurbished.Pomoja na Tech nzuri ya Super Amoled, vyenye mwanga mng'aavu, Vioo vya hizi simu ni mtihani sana kwa watumiaji..
Mkuu hizo za waranti zinashikika kibongobongo?? si ndo utaambiwa 1.8+M?Sio simu za bei rahisi Bali refurbished.
Huo wino ilishatoa toka huko ughaibuni wajanja wakacheza nayo ukaja kupigwa wewe huku.
Kama ulinunua mpya na warranty ya miaka 2 ya Samsung Africa peleka kwa wakala wao itatengenezwa Bure tu.
Ndio inabidi ununue ya kwenye budget yako. Mfano A20 mpaka A50 around 300k mpaka 700k hivi range hio Unapata entry level Amoled screen.Mkuu hizo za waranti zinashikika kibongobongo?? si ndo utaambiwa 1.8+M?
Pole mkuu mimi nahamia OPPO maana hata berti ni 5000+mAhNina S8+ tatizo kioo dukani kioo pamoja na fundi mo 400k nimetupia kabatini nimekamata siki nyingine matata pia kwa 300k na maisha
Hivi kaka katika simu ubora wa kioo huwa unapimwaje?Yaani kwenye specifics za simu kuna sehemu huwa wanazungumzia kuwa kioo kina ubora fulani?Au kwa maana nyingine mfano nitajuaje kuwa samsung A50 ina kioo bora kuliko Mi A2 lite?Sio simu za bei rahisi Bali refurbished.
Huo wino ilishatoa toka huko ughaibuni wajanja wakacheza nayo ukaja kupigwa wewe huku.
Kama ulinunua mpya na warranty ya miaka 2 ya Samsung Africa peleka kwa wakala wao itatengenezwa Bure tu.
Sasa kama wewe ulinunua samsung fake siyo uje ulaumu kampuni ya samsung kuwa inatengeneza vioo fake wakati wewe umenunua simu fake!Mkuu hizo za waranti zinashikika kibongobongo?? si ndo utaambiwa 1.8+M?
Nilihamia siku nyingi infinix hot 9 tena niipata kwa 280 k betri 5000+mAh internal memory 64 ram 3 sio mbaya inanitoshaPole mkuu mimi nahamia OPPO maana hata berti ni 5000+mAh
inatosha sana kwa natumizi ya kibongobongoNilihamia siku nyingi infinix hot 9 tena niipata kwa 280 k betri 5000+mAh internal memory 64 ram 3 sio mbaya inanitosha
1. Unaangalia resolution aka idadi ya pixel. Jinsi display inavyokuwa na pixel nyingi ndio jinsi Picha inakuwa angavu na nzuri. Kwa kuangalia A2 lite na A50 zote zina resolution moja.Hivi kaka katika simu ubora wa kioo huwa unapimwaje?Yaani kwenye specifics za simu kuna sehemu huwa wanazungumzia kuwa kioo kina ubora fulani?Au kwa maana nyingine mfano nitajuaje kuwa samsung A50 ina kioo bora kuliko Mi A2 lite?
Kwani kaka haya uliyoyazungumzia yana uhusiano na ugumu wa kioo cha simu?(Durability).Mimi nilikuwa nataka kukuuliza juu ya ugumu(durability) ya kioo cha simu,mfano nikidondosha simu kioo kisipasuke kwa urahisi.1. Unaangalia resolution aka idadi ya pixel. Jinsi display inavyokuwa na pixel nyingi ndio jinsi Picha inakuwa angavu na nzuri. Kwa kuangalia A2 lite na A50 zote zina resolution moja.
2. Una angalia technology iliotengeneza kioo kama ni oled, lcd, ips lcd, Amoled, Sema zinazotumika kwa wingi ni
-Amoled/oled ambayo sifa yake ikionesha rangi nyeusi inazima kabisa pixel Hivyo inakuwa na rangi nyeusi iliokolea kabisa kila pixel hujiwasha yenyewe sababu hii hupelekea kuwa na mwanga mdogo mzuri hata usiku bila kuiwasha taa haiumizi sana macho.
Tatizo kubwa la Amoled sababu pixel zinajiwasha zenyewe huwa na Tabia ya kuungua ikionesha Picha moja muda mrefu.
-lcd yenyewe inakuwa na mwanga mkali sababu kunakuwa na Taa nyuma ya kioo, hii pixel zake haziungui kama Amoled na ikionesha nyeusi inakua kama kijivu ilioiva.
Yapo mambo mengine kama calibration ya display, vitu kama Color accuracy etc
Mfano kuna display zinaweza kuonesha rangi milioni 16, nyengine rangi billioni 1 etc.
Pia kuna standard hizi mpya za Hdr10 na Dolby vision ambazo zote zinaashiria kioo kinaweza onesha mabilioni ya Rangi, kwa mwanga mkubwa sana na mdogo sana kuileta ile feeling kama ya real life.
Na mwisho wa siku mkuu specs tu hazitoshi, review muhimu, unaweza kuta ikawa Amoled ikawa mbaya na lcd ikawa nzuri kutegemea na Nani katengeneza na katumia nini.
Ukitaka kununua kifaa angalia reviews za kutosha.
Hili hupimwa na protection ya juu iliotumika.Kwani kaka haya uliyoyazungumzia yana uhusiano na ugumu wa kioo cha simu?(Durability).Mimi nilikuwa nataka kukuuliza juu ya ugumu(durability) ya kioo cha simu,mfano nikidondosha simu kioo kisipasuke kwa urahisi.
Yaani swali langu lilijikita kwenye hilo.Mfano nategemea simu aina fulani nikiidondosha kwenye sakafu katika umbali fulani kioo chake kisipasuke lakini simu ya aina fulani nyingine nikiidondosha katika umbali huohuo basi kioo chake kinapasuka.Sasa haya yanapimwaje?
Shukrani sana mkuu hili ndiyo nilitaka kufahamu!Lakini kaka mbona sasa kwenye specification huwa hawazungumzii haya mambo ya bezell na gorilla glass?Sasa nitajuaje kuwa simu aina fulani ina aina ipi ya bezell?Hili hupimwa na protection ya juu iliotumika.
Display inakuwa na layer nyingi, ndani kabisa ndio zinakaa hizo Amoled na lcd, juu kuzilinda hizo display wanaweka protection.
Maarufu zaidi ni gorilla glass na hizi zipo version nyingi 2, 3, 5 etc.
Sema ugumu wa glass tu hautoshi, bezell nazo husaidia, simu yenye bezell kubwa husaidia kulinda kioo, ndio maana unaona watu hulalamikia simu zenye edge maana zina bezell ndogo.
Simu za kizamani nyingi zilikuwa Ngumu kuvunjika kioo sababu ya Bezell
Hawa infinix material huwa wanapata bure nini? Mbona specs kubwa afu bei cheeNilihamia siku nyingi infinix hot 9 tena niipata kwa 280 k betri 5000+mAh internal memory 64 ram 3 sio mbaya inanitosha
Mkuu bezel ni ile nafasi toka kioo kinapoishia mpaka pembe za simu. Mfano wa simu yenye bezell kubwa na ndogo ni kama huu.Shukrani sana mkuu hili ndiyo nilitaka kufahamu!Lakini kaka mbona sasa kwenye specification huwa hawazungumzii haya mambo ya bezell na gorilla glass?Sasa nitajuaje kuwa simu aina fulani ina aina ipi ya bezell?
Shukrani mkuu!πππMkuu bezel ni ile nafasi toka kioo kinapoishia mpaka pembe za simu. Mfano wa simu yenye bezell kubwa na ndogo ni kama huu.
Hivyo kwa macho unaona bezell
Kuhusu gorilla glass huwa inaandikwa kwenye specs. Mfano Gsmarena huwa wanaandika.
Na Kuna baadhi ya simu pia zina plastic display, hizi ukidondosha hazipasuki Sema zikiungua na joto kubwa zinayeyuka. Samsung active series na baadhi ya Motorola zina display za hivi.
Mkuu wewe unakamata kama unaona inakufaaa hayo mambo mengine unaachana nayoHawa infinix material huwa wanapata bure nini? Mbona specs kubwa afu bei chee