Vip kuhusu bagamoyo sec,nisaidieni wadau

King Gmt

Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
21
Reaction score
1
Jamani mi nimechaguliwa Bagamoyo sec naombeni mnisaidie details zake kama skuli ni nzuli au la
 
Hiyo shule inaongoza kwa wanafunzi wake kupigana wenyewe kwa wenyewe mf. O-lvl bifu na a-level(hadi inafungwaga) pia magomvi ya wanafunzi na raia...
Tafuta shule nyingine hapo sio, taaluma ufaulu ni wakawaida tu
 
Ni shule nzuri ingawa migomo na fujo ni nyumbani kwake hapo,but mazingira na ufaulu ni mzuri.
 
O-level wameisha wamebaki A-level,kwa sasa hamna mambo za ajabu.
 
Hiyo shule inaongoza kwa wanafunzi wake kupigana wenyewe kwa wenyewe mf. O-lvl bifu na a-level(hadi inafungwaga) pia magomvi ya wanafunzi na raia...
Tafuta shule nyingine hapo sio, taaluma ufaulu ni wakawaida tu

Kwa hiyo ushauri wako kwa dogo ni upi apitie mgambo kwanza?.
 
Jamani mi nimechaguliwa Bagamoyo sec naombeni mnisaidie details zake kama skuli ni nzuli au la

aisee hiyo shule siku hizi imekuwa na adabu sana mimi nimesoma kipindi cha 2006-2008 A level kulikuwa na vurugu maana nilianza kwa form v kupigana na form six then tukabaki form six 2008 tukapigana na o level ugomvi haswa, ila siku hizi kumebaki A level peke yake kumekuwa na adabu, shule ipo karibu na mjin na mita 100 bahari, ukichoka unashuka beach. utakutana na walimu kama mama kitembe, mgombere. mambo yapo pouwa nenda kapige shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…