Mpaka mwaka huu 2012 Cohort ya 11, Bodi ya mikopo haihusiki na mikopo ya Law School of Tanzania.Kama mtu anaahitaji mkopo basi wanafunzi wanajiorganise na kuomba mkopo kupitia chuo na kama mkopo ukikubaliwa basi huwa unatoka wizara ya Sheria na Katiba kupitia Law School.
Lakini nasikia kuanzia Cohort ya 12 wanaweza kuanza kupewa mikopo kupitia Bodi ya Mikopo.....fuatilia