Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,304 Oct 15, 2013 #1 mwenye kujua naomba anifahamishe maana waziri wasira alisema viongoz wa upinzan wanataka kumuona rais jk ili wanywe tena na akasema safari hii hakuna kunywa kitu.
mwenye kujua naomba anifahamishe maana waziri wasira alisema viongoz wa upinzan wanataka kumuona rais jk ili wanywe tena na akasema safari hii hakuna kunywa kitu.
House Wife JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 373 Reaction score 223 Oct 16, 2013 #2 Ngoja waje walioenda.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Mar 8, 2023 #3 Wapinzani wamenza maridhiano muda mrefu sana!