Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Yani kuwaambia watu hii siri itakua ni sawa na Samsoni alivyompa Delila siri ya nguvu zake.Itasaidia wengi naomba uiweke bayana
Baby wangu mbiti yeye huwa ni mtunzi wa nyimbo zangu pia hunisaidia kutafuta melody nzurNa mbiti nae?
Mbiti ni mtunz wangu mkuuMbiti itakua ana kipaji cha kuimba chorus.
Noma sana mkuuBaby wangu mbiti yeye huwa ni mtunzi wa nyimbo zangu pia hunisaidia kutafuta melody nzur
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaaaMaana hiyo ndoa ya msukuma na mtu wa mbeya kwaya zilikozaliwa