Vipara

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,518
Reaction score
6,506
Hivi kuna wanawake wenye vipara?, maana mimi sijawahi kuona mwanamke mwenye kipara. Kuna nadharia kuwa vipara vinatokana na mtu kutumia sana ubongo wake katika kufikiria mambo magumu na kwa kina, je wanawake na wanaume wasio na vipara ina maana huwa hawafikirii mambo kwa kina? Zaidi ya hapo kipara kinatokana na nini kibaologia tukiacha tetesi za mitaani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…