Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Tatizo Alipokuwa ana nadi ilani ya chama chake yenye kurasa zaidi ya 300+ wewe ulikuwa busy kusifia na kupiga mapambio ya Wagombea wa Ubelgiji na wabunge waropokaji tu.
Nakushauri; Badala ya kujidhalilisha hapa jf kuuliza vitu ambavyo hata mtoto wa la nne D akisoma ataelewa, kapitie ilani ya Uchaguzi ya CCM2020 ikujibu swali lako mlenda hili.
Duh🙄Kazi yake kubwa na malengo yake makubwa alisistiza jana mala tatu juu ya uchaguzi kuisha.
Alikuwa anamaanisha ataua ataumoliza, atateka, na kutia wapinzani ulemavu.
Kujenga uwanja mkubwa Dodoma, ndiyo nilichokisikia jana.
Ufisadi wa nani? Wake nani atadeal nao? Zile sekta nyeti za upigaji ameziweka chini ya ofisi yake na hazitakaguliwa na mamlaka yoyote.Anadeal na mchwa wa halmashauri
Ila ameumudu ametia oil chafu mpaka mchwa wame-brooo
In fact, ufisadi kwa kiasi kikubwa ni threat wa kwanza wa Maendeleo
Ngoja nimpigie simu Msigwa anipe namba yake nimuulize,nitakupa jibuUna umuhimu gani kwetu wana Nkasi na wana Mtwara vijijini?
Yani alosahau uchaguzi umeisha, akatoa ahadi mpya ya kujenga uwanja mkubwaaaa sana Dodoma.Kujenga uwanja mkubwa Dodoma,ndiyo nilichokisikia jana.
Kumbe tunahangaika na enye chuki binafsi.Kwa hiyo mlitaka Magufuli awe mungu asikosolewe wala kuhojiwa? Au kuwa rais kupitia CCM ni kuwa rais wa Wana CCM tu na sio taifa zima?
Hiyo ilani ni ya chama chenu, to me is more than rubbish.
Mangapi ameyafanya Magufuli na hayako kwenye ilani ioiyomweka madarani 2015?
Vipi aliejenga uwanja bila tenda kutangazwaAnadeal na mchwa wa halmashauri
Ila ameumudu ametia oil chafu mpaka mchwa wame-brooo
In fact, ufisadi kwa kiasi kikubwa ni threat wa kwanza wa Maendeleo
Tutafanyaje sasa welfare of Tanzanians siyo priority.......Yani alosahau uchaguzi umeisha, akatoa ahadi mpya ya kujenga uwanja mkubwaaaa sana Dodoma.
Hicho ndo atakachoanza nacho