My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,604
- 11,898
Hakunaga Swali la ******* kama hiliUna umuhimu gani kwetu wana Nkasi na wana Mtwara vijijini?
Kushabikia upuuzi kama huu ndio umefanya mkashindwa kila kona ya Tanzania.Tutafanyaje sasa welfare of Tanzanians siyo priority.......
Kujenga reli kwenda kwake chatoJana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi.
Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya dira ya miaka mitano?
We jamaa jinga sana!Kwa hiyo mlitaka Magufuli awe mungu asikosolewe wala kuhojiwa? Au kuwa rais kupitia CCM ni kuwa rais wa Wana CCM tu na sio taifa zima?
Hiyo ilani ni ya chama chenu, to me is more than rubbish.
Mangapi ameyafanya Magufuli na hayako kwenye ilani ioiyomweka madarani 2015?
Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi.
Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya dira ya miaka mitano?
Kujenga reli kwenda kwake chato
Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi.
Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya dira ya miaka mitano?
Ndio hitaji la watanzania?kama nilimsikia vizuri, kipaumbele cha kwnaza ni UWANJA MKUBWA WA MICHEZO DODOMA.
Hata kuwabambikia kesi watakaokataa kununuliwa1. Kununua Ndege zaidi.
2. Kununua wabunge waliobaki wa upinzani
Jamaa anajua wanafanya nini na wanaenda wapi una maana hata kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji kwa wapinzani huwa anajua anafanya nini na anaenda wapi siyo?Mambo yote yapo kwenye ilani ya chama chake wameeleza kila kitu watakochoenda kukifanya katika kila sekta
Barabara zote watakazojeng, hospitlai zote, kila njama imeeleza ipasavyo
Honestly jamaa wanajua wamefanya nini Na wanaenda wapi iko na page 300
ILANI IPO GOOGLE KAICHUKUE
Chuki binafsi ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? au chuki binafsi ni uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani? au chuki binafsi ni kuiba kura uchakachuaji kwa njia haramu za kishetani? au ni chuki ipi unaiongelea?Kumbe tunahangaika na enye chuki binafsi.
Haya tunakuachia Uzi wako wasubri wenye chuki binafsi wenzako mje kuendeleza unafiki.
Usijidai kutumia lugha ya kishetani kukataa swali kwa njia haramu za kishetani, kwani hiyo Bandari inajengwa kwa Hisani za CCM? au kwa pesa binafsi tokea mfukoni mwa CCM? au ni pesa za walipa kodi wote NchiniHakunaga Swali la ******* kama hili
Ngoja ukue alafu siku uje upitie replies zako humu UTAJUTA sana
Kwhyo tusijenge Bandari ziwa Victoria kwakua haitakua na msaada kwa watu wa ushiirombo moshi ?
Wajenge na ukumbi wa Bunge lihamie huko kwani sasa ni chama kimoja hata Spika akiwa mtoro Bungeni hakuna shida tenaIkikamilika napendekeza pia tuanze na mradi Mkubwa sana wa kupeleka bahari ya hindi Chato ili meli kubwa kubwa ziweze fika huko.
Upinzani usioona chochote kizuri kilichofanywa na serikali ndio huu wa team Tundu Next Man . Ndio maana wale werevu mapemaaa waliamua kuachana nao na kuunga mkono juhudi za raisHakunaga Swali la ******* kama hili
Ngoja ukue alafu siku uje upitie replies zako humu UTAJUTA sana
Kwhyo tusijenge Bandari ziwa Victoria kwakua haitakua na msaada kwa watu wa ushiirombo moshi ?
5-kuwabambikia Kesi zaidi wapinzani1. Fly over 8 Dar
2. Kununua ndege 6 kwa cash
3. Arusha kuwa karifonia
4. Wamachinga kuchukua mikopo kwa vitambulisho vya machingia visivyo na picha wala jina
Kizuri kipi kwa mfano? Maana miradi yote mikubwa ina ufisadi mkubwa mapungufu makubwa na kuna 10% zenu na wewe ni mnufaika wa tenda zote ndogo ndogoUpinzani usioona chochote kizuri kilichofanywa na serikali ndio huu wa team Tundu Next Man . Ndio maana wale werevu mapemaaa waliamua kuachana nao na kuunga mkono juhudi za rais
Thibitisha kwa numbers sio manenoKizuri kipi kwa mfano? Maana miradi yote mikubwa ina ufisadi mkubwa mapungufu makubwa na kuna 10% zenu na wewe ni mnufaika wa tenda zote ndogo ndogo