DaudiAiko
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 372
- 310
Wana bodi,
Nina mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunipa nafasi ku wasiliana na wote tena siku ya leo. Katika kipindi hiki ni vyema kwa wote kufahamu kwamba Rais Magufuli ku wasiliana na wananchi kupitia vyombo vya habari ni kitu ambacho hakipo ndani ya uwezo wetu.
Ratiba ya Rais, kwasababu za usalama, lazima inapangwa siku nyingi sana kabla ya hafla yoyote kanakwamba haya yote yanayo endelea sasa hivi yanaweza yakawa yame pangwa na taarifa za muda muafaka kwa yeye kurejea tena hatharani zitatufikia zitakapo kuwepo.
Mada ya leo na kitu ambacho ningependa kujadili na wote ni kama vipaumbele vya serikali ya Rais Magufuli vinatosha katika undeshaji wa nchi. Serikali ya awamu ya tano imejikita zaidi kwenye ujenzi wa miundo mbinu kuliko vitu vingine vyovyote.
Sikatai umuhimu wa miundombinu hiyo lakini ninaona kwamba kuna kazi kubwa sana isiyo onekana kwa macho ambayo ni ya muhimu zaidi. Mfano mikubwa ni kwamba, serikali ina taasisi na shirika nyingi zinazo milikiwa zaidi na nchi za nje.
Tungekuwa tunamiliki wizara zote na taasisi zote kwa asilimia mia, tungepiga hatua kubwa ndani ya muda mfupi. Tanzania ilitajwa kuwa nchi yenye kipato cha kati. Hiki ni kitu kizuri cha kuanzia lakini umasikini bado upo sana nchini.
Tafakari,
Jumapili njema.